Irakoze Vision

Irakoze Vision Flame in the wind

Hizo habari za kuachana kawapa nani? πŸ˜‚πŸ˜‚
11/06/2026

Hizo habari za kuachana kawapa nani? πŸ˜‚πŸ˜‚

11/06/2026

Kwa nini? Why ? πŸ€”πŸ€”

Muwe na Jioni njema wakuu πŸ™Nawakunbusha: Si lazima Kila anayefanya kazi Kwa bidhii awe tajiri, lakini pia hakuna tajiri ...
10/06/2026

Muwe na Jioni njema wakuu πŸ™
Nawakunbusha: Si lazima Kila anayefanya kazi Kwa bidhii awe tajiri, lakini pia hakuna tajiri ambaye hajafanya kazi Kwa bidhii.

09/06/2026

Wewe k**a single mother, ungemuruhusu mtoto wako amuoe single mother k**a wewe? Kuwa mkweli. πŸ˜…πŸ™Œ

K**a umeamka salama, mwambie Mungu Asante πŸ™
09/06/2026

K**a umeamka salama, mwambie Mungu Asante πŸ™

Habari za asubuhi? Leo umeenda kanisani au hayanihusu πŸ˜πŸ™Œ
07/06/2026

Habari za asubuhi? Leo umeenda kanisani au hayanihusu πŸ˜πŸ™Œ

24/05/2026

Kuna watu wako wa karibu wanatamani kimya kimya ushindwe lakini wakifika mbele yako wanajifanya wanakuumga mkono. Usitoe Siri za mipango yako kirahisi , watu wamekuwa wanafiki balaa ! πŸ™Œ

23/05/2026

Dunia ina tabia ya kuwafurahisha watu wabaya na kuwaumiza watu wema.

Arsenal  mabingwa wa EPL 2025 - 2026  πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Congratulations πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸ‘
19/05/2026

Arsenal mabingwa wa EPL 2025 - 2026 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Congratulations πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸ‘

19/05/2026

K**a umeamka salama usisihau kumwanbia Mungu "Asante" πŸ™πŸ€²

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Irakoze Vision posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share