Turyohegwe twese

Turyohegwe twese sport news All politico news.EAC Tanzanie 🇹🇿🇧🇮Burundi🇨🇩RDCzaire🇿🇲zambia🇺🇬uganda rwanda Kenya AAfrikmashariki

Habari kubwa Duniani ni juu ya kuwawa kwa kiongozi wa kiroho  wa Irani,Ayyatollah Khamenei ambae ameuwawa katika mashamb...
01/03/2026

Habari kubwa Duniani ni juu ya kuwawa kwa kiongozi wa kiroho wa Irani,Ayyatollah Khamenei ambae ameuwawa katika mashambulizi yaliyofanywa na Israel kwa kushirikiana na Marekani.

Tumuombee apumzike mahari pema 🙏

Talk less
28/02/2026

Talk less

Pictorial Highlights for Nc'wala Traditional ceremony.Zambia reports  source 📸 Breezefm
28/02/2026

Pictorial Highlights for Nc'wala Traditional ceremony.
Zambia reports source

📸 Breezefm

🚨 Mario Balotelli: “I have nothing against monkeys, because I’m sure that A MONKEY IS SMARTER THAN A RACIST”. 😮‍💨🔥
27/02/2026

🚨 Mario Balotelli: “I have nothing against monkeys, because I’m sure that A MONKEY IS SMARTER THAN A RACIST”. 😮‍💨🔥

Faida ya kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na maarifa ya kutosha na hivyo kuwa na uwezo wa kubeba abiria kwa kutum...
27/02/2026

Faida ya kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na maarifa ya kutosha na hivyo kuwa na uwezo wa kubeba abiria kwa kutumia njia ya simu za mkononi

27/02/2026

Fsuv

🏆 To Win the Champions League:🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal - 29%🇩🇪 Bayern Munich - 15%🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City - 13%🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool ...
27/02/2026

🏆 To Win the Champions League:

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal - 29%
🇩🇪 Bayern Munich - 15%
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City - 13%
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool - 10%

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea - 7%
🇪🇸 Barcelona - 6%
🇫🇷 PSG - 4%
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Newcastle - 4%
🇪🇸 Real Madrid - 4%

🇵🇹 Sporting CP - 2%
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Tottenham - 2%
🇪🇸 Atlético Madrid - 1%
🇩🇪 Leverkusen - 1%
🇮🇹 Atalanta - 1%
🇳🇴 Bodø/Glimt - 0.3%
🇹🇷 Galatasaray - 0.3%

(% per )

Tasnia ya muziki nchini Burundi 🇧🇮  ipo kwenye majonzi mazito kufuatia kifo cha msanii mkongwe wa Hip Hop na Rap, Jeez-B...
08/02/2026

Tasnia ya muziki nchini Burundi 🇧🇮 ipo kwenye majonzi mazito kufuatia kifo cha msanii mkongwe wa Hip Hop na Rap, Jeez-B, aliyekuwa akiheshimika sana katika muziki wa kizazi kipya.

Kwa mujibu wa taarifa, Jeez-B alifariki dunia kutokana na maradhi ya figo, baada ya kuwa amelazwa kwa siku kadhaa katika Hospitali ya Kijeshi ya Kamenge (Hôpital Militaire de Kamenge HMK).

📌 Marehemu Jeez-B alikuwa na mashabiki wengi kutokana na nyimbo zake zilizogusa maisha halisi ya kijamii, na aliwahi kushirikiana na wasanii wakubwa akiwemo Big Fizzo pamoja na T-Max.

Kifo chake ni pigo kubwa kwa muziki wa Burundi, hususan kwa Hip Hop na Rap, ambapo alichukuliwa k**a kielelezo na msanii mwenye uzoefu mkubwa.

🕯🕊 Mungu ailaze roho ya marehemu Jeez-B mahali pema peponi.

Big shout out to my newest top fans! 💎 Afrika MullerDrop a comment to welcome them to our community,
08/02/2026

Big shout out to my newest top fans! 💎 Afrika Muller

Drop a comment to welcome them to our community,

Nasty C on His Decision to Stop Attending Church
02/02/2026

Nasty C on His Decision to Stop Attending Church

🏆🇪🇺 The Champions League knockout phase play-off draw is complete! 🔥 #
31/01/2026

🏆🇪🇺 The Champions League knockout phase play-off draw is complete! 🔥

#

30/01/2026

🤔 Will Mbappé surpass Cristiano Ronaldo’s record?

Address

Zambia Lusaka
Lusaka

Telephone

+25768214412

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Turyohegwe twese posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share