Arma Jay

Arma Jay Arma Jay
ARTISTES FROM RDC CONGO
SUIS EN YOUTUBE INSTAGRAM FACEBOOK
(1)

Hata Marafiki Zako Wamekuwekea Kiwango Cha Mafanikio Ukikivuka Tu Umewakwaza.🇨🇩🧏
07/06/2026

Hata Marafiki Zako Wamekuwekea Kiwango Cha Mafanikio Ukikivuka Tu Umewakwaza.🇨🇩🧏

Wakati Diamond anawekeza kutengeneza wanamuziki wenye thamani sokoni yeye alibakia kujitapa tu, sasa hivi Alikiba anaomb...
06/06/2026

Wakati Diamond anawekeza kutengeneza wanamuziki wenye thamani sokoni yeye alibakia kujitapa tu, sasa hivi Alikiba anaomba kolabo kwa kila mwanamuziki anayetoka Wasafi sababu anajua ndio wanaolipa sokoni.

Yeye yupo na wasanii miaka 10 ila hata uwapeleke kule Mang'ula wakafanye shows watu hawajai, halafu anasema Kings ni chuo cha muziki sasa chuo gani kinazalisha magarasa tu yasiyo hitajika sokoni.

WCB ndio chuo cha muziki bongo maana wanatengenezwa wasanii ambao hata yeye mwenyewe anashoboka kuwaomba kolabo, ifike muda Diamond asilinganishwe na yeyote maana hakuna anaye msogelea kwenye lolote amewaacha mbali sana sasa hivi wanahangaika kuomba kolabo kwa vijana wake.

Inawezekana ulikuwa hujui hiki kitu, lakini acha nikuambie Leo.Harmonize licha ya kukaa wasafi miaka yote hakuwahi kushi...
06/06/2026

Inawezekana ulikuwa hujui hiki kitu, lakini acha nikuambie Leo.

Harmonize licha ya kukaa wasafi miaka yote hakuwahi kushirikishwa kwenye wimbo wowote na Diamond platinumz, nyimbo zote ambazo wako pamoja ni Harmonize alizo mshirikisha Diamond.

Tukija Kwa Rayvany na Mbosso, Hawa wote walisha shirikishwa na Diamond, Rayvany alishirikishwa kwenye Iyena, na Mbosso alishirikishwa kwenye Oka.

Kwahiyo watu wanao Jiuliza Diamond aliwezaje kuishi na Harmonize bila kujua kuwa ni adui yake inabidi waangalie hicho kitu, inawezekana pia Diamond aliona mapema kuliko nyie.

NB: K**a una Bisha taja wimbo ambao Diamond kamshirikisha Harmonize.

Wanamuziki wawili wakubwa wenye nguvu na mashabiki wengi ndani ya masaa nane wameshindwa kupata views laki 5 ni ishara y...
06/06/2026

Wanamuziki wawili wakubwa wenye nguvu na mashabiki wengi ndani ya masaa nane wameshindwa kupata views laki 5 ni ishara ya wazi wimbo mbovu umebuma.

Ukiamini Unaweza, Tayari Uko Hatua Moja Mbele.
06/06/2026

Ukiamini Unaweza, Tayari Uko Hatua Moja Mbele.

Kuwa Na Moyo Mkubwa, Lakini Usisahau Kuwa Na Mipaka.
06/06/2026

Kuwa Na Moyo Mkubwa, Lakini Usisahau Kuwa Na Mipaka.

04/06/2026

With Diamond Platnumz Family – I just got recognized as one of their top fans!

Sasa hivi ukimtaka Harmonize hata kwenye graduation ya shule ya msingi unampata muhimu usikose milioni 5 ya kumpa, jamaa...
01/06/2026

Sasa hivi ukimtaka Harmonize hata kwenye graduation ya shule ya msingi unampata muhimu usikose milioni 5 ya kumpa, jamaa anaitaka hela mpaka anajishusha kiasi cha kufanya show kwenye sehemu ambazo zinashusha hadhi yake, lawama kubwa nazipeleka kwa mameneja wake ambao wanashindwa kufanya kazi yao.

Harmomize shule hakuna na sio mjuzi kwenye mipango ya kulinda thamani sasa wao wasimamizi ndio wanaopswa kumwambia aina gani ya shows afanye na zipi asifanye, japo baadhi ya watu wake wa karibu wanalalamika kwamba jamaa hashauriki hasa anapokuwa penzini na Kajala ndio maana wamekuwa wakimuacha afanye anavyotaka sababu jamaa anahitaji pesa kwa nguvu ili kuendelea kumfurahisha mpenzi wake mpaka kufikia hatua ya kupokea show yoyote ile hata k**a inashusha hadhi yake.

Msanii wa Bongo Fleva Marioo ameibua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kuwauliza mashabiki wake kupitia ukurasa wake:“Tu...
28/05/2026

Msanii wa Bongo Fleva Marioo ameibua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kuwauliza mashabiki wake kupitia ukurasa wake:
“Tumekutana tena kwenye EP yangu Unahisi nani kamfunika mwenzake…!!? 🔥‼️”
Kauli hiyo imezua hisia tofauti kwa mashabiki huku wengi wakisubiri kwa hamu kuona ni nini hasa Marioo amewaandalia kwenye project hiyo mpya. 🎶🔥
Marioo ameweka wazi kuwa EP yake itatoka rasmi tarehe 29, Ijumaa hii, jambo ambalo limeongeza hamasa kubwa kwa mashabiki wa muziki wa Bongo Flava.
Bad 🤴 X Konde 🐘 imezidi kuwasha mjadala kabla ya project hiyo kutoka rasmi. 👀🔥
Je, unatarajia nini kutoka kwenye EP mpya ya Marioo? Tuambie maoni yako 👇
MMMCXII BongoFlava MusicUpdates

Hizi ni Baadhi ya picha kutoka kwenye Behind the scene ya video mpya ya msanii Marioo na Harmonize inayotarajiwa kutoka ...
25/05/2026

Hizi ni Baadhi ya picha kutoka kwenye Behind the scene ya video mpya ya msanii Marioo na Harmonize inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

Hii ni miongoni mwa video zitakazoachiwa kwenye EP mpya ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva Marioo "MMMCXII" Inayotarajiwa kutoka Tarehe 29 mwezi huu.

Address

Klm
Lusaka

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arma Jay posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category