02/17/2023
ππππππππΏπΏπΏJana niligombezwa home,π₯ Mimi na hasira zangu nikaamua kuishia msituni πΆπΆ
Giza ilipoingia nikapanda juu ya mti mkubwaπ³π²,,,pale chini kulikuwa na mawe tatu sikujua n ya nini πππ
Ilipofika usiku nikaona jamaa akiwa uchiπ³π,,akakaa pale kwenye jiwe la kwanza,,,kidogo kidogo mtu mwingine akakuja akaketi kwenye jiwe la piliβ...after 5minutes mtu mwingine akakuja Naye akaketi kwa lile jiwe lingine,wote wakiwa uchiππ...kumbe walikuwa wachawiπ§πππ
Uoga pale juu ya mti ulikuwa unaniuwa...ππ₯,,sasa ilfika wakati wa introduction,,,wa kwanza akasema.."Mimi n mchawi kutoka Ghana",,wa pili akasema...."Mimi n mchawi kutoka Tz...na wa tatu akasema "Mimi n mchawi kutoka Congo"...Leo yule jamaa tunaenda na kichwa chakeπ³π³πππ
Juu ya uoga ilibidi nianguke k**a avocadoπ yenye imeivaππ..Nikasema Mimi n mchawi kutoka mbinguniππππ
Ile mbio walitokaπππ ni mungu tu anajua...hadi saii bado niko kwa izi mawe tatuππππππππππππππππππΆπΆπΆβπ
DJ Wallet 254DJ Wallet 254DJ Wallet 254DJ Wallet 254