United Gospel Band

United Gospel Band God is good All the times �

https://youtu.be/CHYfqkj0ZX8?si=gOAV_Dfu3VJIfOYX  NDUGU ZANGU MLIOKO NYUMBANI AFRICA, K**A UNATAKA KU SUPPORT OMEGA BAND...
11/06/2024

https://youtu.be/CHYfqkj0ZX8?si=gOAV_Dfu3VJIfOYX NDUGU ZANGU MLIOKO NYUMBANI AFRICA, K**A UNATAKA KU SUPPORT OMEGA BAND NA UNAKOSA MB, NITAFUTE WHATSAPP NUMBER +12516432951 TUFANYE UDUMA PAMOJA ASANTE.

Omega Band Watoto wa Muziki, Matari na Kucheza, Lùùndo meaning love, Uwezi mpenda Mungu Usiye Muona huku Unamchukia Ndugu yako,

06/21/2024

DALILI 7 ZA KANISA LILILOPOOZA KIROHO NA LENYE UVUGU-VUGU NA WAHUNI.

Ukimaliza Kusoma hii post mpelekee na Mchungaji wako ajifunze, Na Mchungaji wako akimaliza kusoma ampelekee Askofu wenu.

1: Ni Kanisa amabo halijawai kuhubiri injili hata siku moja tangu liwepo WARUMI 10:15. au linalofanya Mkutano Wa injili mara moja Kwa Mwaka, au likijitahidi sana ni mara mbili ZAB 96:2-3.

2: Ni Kanisa lililoacha Kukusanyika katika Ibada za Nyumba kwa Nyumba MDO 2:46, 20:20.

3: Ni Kanisa lenye ubaguzi Na Kupendelea Watu wenye cheo au weny fedha... YAK 2:1-4

4:Ni Kanisa lenye majivuno ya Majengo makubwa yaliyopambwa sana, Elimu za Theology, na mafanikio ya Kimwili ZAB 20:7

5: Ni Kanisa lisilo na maombi ya mara kwa nara Ya Kufunga Na Kuomba MATH 17:21, 1WATH 5:17.

6: Ni kanisa ambalo waumini hawakomahi kiroho wala hawakuwi kiroho, matendo yao ni yale yale ya kabla ya wokovu, yaani wakristo ambao tabia na mienendo yao hazina utofauti na wapagani. Ambao hawajatakashwa na neno la Mungu…YOH 8:31-32, 17:17.

7. Ni kanisa ambalo alikemei dhambi
ISAYA 58:1, wala hawaambiani makosa wao kwa wao na hawashauriani katika mazuri.

Ukiona maali unaposali kuna mambo hayo👆 basi kimbia mbio toka hapo araka sana maana Mchungaji wenu ni Muhuni wala hana wito wa uchungaji.
Tafuta Kanisa ambalo utafundishwa ukweli alisi wa neno la Mungu ili ukomae nakujuwa wito wako MITH8:17.

JE? KUNA UKWELI HAPO NA UMEJIFUNZA NIJI KUTOKANA NA KANISA UNALO SALI KWASASA? Jibu kwa Comments

Is Evangelist Kakozi
04/09/2022

Is Evangelist Kakozi

02/13/2021

Gospel Music Management,, Organization of Praise and Worship in the Name of Jesus

Address

Mobile, AL
36606

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when United Gospel Band posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share