Tamthiliya

Tamthiliya Karibu wadau wote na wapenz wote wa tamthiliya tusome tujifunze natuelimike

11/07/2018

Mpya Mpya Mpya
2018
inakuja

Album: NIMEPATA ANAYE NIPENDA >DONDA LA PENZI  Itaanza Kuruka Hewa Tena Ww Ambae Bado Like Na Comment
09/27/2018

Album: NIMEPATA ANAYE NIPENDA
>DONDA LA PENZI

Itaanza Kuruka Hewa Tena
Ww Ambae Bado Like Na Comment

09/27/2018

DONDA LA PENZI
Itaanza kuruka hewan

09/29/2017

Kitu kipya 2017 sasa utaanzaje kukosa


"KILIO CHANGU"
Nitamthiliya bomba sana yaan kitu kimetulia Vibaya mno
cha kufanya ww like tu hii page k**a bado

Jina la tamthiliya: DONDA LA PENZI Mwandish: SIMON S MASOMHE Cm 0762922508  02  ""Watu waliokuwa eneo hilo waliulizana n...
11/28/2016

Jina la tamthiliya: DONDA LA PENZI
Mwandish: SIMON S MASOMHE
Cm 0762922508
02

""Watu waliokuwa eneo hilo waliulizana ninani anayeshuka maana sura ya mrimbwende huyo ilionekana n ngen kabisa maeneo hayo.
Hatimae deleva aliweza kufungua mlango ambao msichana huyo alipokuwa ameket macho ya watu waliokuwa wameket sehemu hiyo wakiendelea kumshangaa macho yaliwatoka baada ya kumshuhudia msichana huyo mlimbwede misili ya malaika alie shushwa na mwenyez mungu.
hakika alionekana msichana mzur sana alikuwa kavalia gaun jekundu na viatu vya mchuchumio rang ya zambarau nguo alizo kuwa kavaa mwanadada huyo hakika zilimtoa na alipendeza kwan zilimkaa vyema mwilin mwake

"duu!! hakika dunia hii kuna wanawake wamezaliwa utafikir mtoto haend mawaliton"

zilikuwa ni saut za vijana waliokuwa wamekaa kwa pamoja huku wakiendelea kumshangaa mribwende yule
Deleva baada ya kumfungulia mrango bint huyo akatoka inje uzur wake uliongezeka mara dufu...
@....
na comment

na k**a page huja lik

Jina la tamthiliya: DONDA LA PENZI Mwandish: SIMON S MASOMHE Mwaka: 2016 Cm: 0762922508   "Kijiji kilikuwa kimepoa sana ...
11/28/2016

Jina la tamthiliya: DONDA LA PENZI
Mwandish: SIMON S MASOMHE
Mwaka: 2016
Cm: 0762922508
"Kijiji kilikuwa kimepoa sana jumapili hiyo wengi walikua wametulia manyumban kwao kwa mapumziko ya mwisho wa wiki, huku wengne wakielekea kanisan. hali ya hewa ilikua tulivu sana, jua halikutoka kabsa anga lilikuwa kimya na kwa mbal wingu lilionekan kujikusanya

"""hali hiyo ilitosha kabisa kuwafanya watu wa makazi hapo kuamin kabsa mvua ilikua jiran kunyesha.

**Gari aina ya BMW nyekundu iliegeshwa kandokando ya barabara jilan na makazi ya watu. watu walio kuwa karibu na eneo hilo wote walitaka kujua ni nan aliyekuja kuwa tembelea na kali la kifahali k**a lile. ilichukua k**a takiriban dk 5 ndipo akashuka kijana mmoja handsome upande wa deleva na kuzunguka upande mwingne.
upande ambao alionekana msichana mrembo sana hakika urembo wake urisadifu ukichanganya na mavali alio kuwa amevaa hakika alipendeza san
watu waliokuwa eneo hilo waliulizan ni nan anayeshuka?
@@ itaendelea...
**like na comment plz

Kupitia simu yako sasa unaweza kupata   murua chakufanya ww like tu page k**a bado
11/22/2016

Kupitia simu yako sasa unaweza kupata murua
chakufanya ww like tu page k**a bado

    Trump loading......
11/12/2016


Trump loading......

10/09/2016

"Mpenzi wako akikuzingua mwambie ivi kwanza kwangu ulikuwa mzigo tu ni bora umenitu maana kichwa kingeniuma sana"

mm ni mpya japo ww unaniona wa zaman

Wadau wangu,mara fiki zangu,jamaa zangu naomben sura yenu kifaa changu cha kupostia story kimeharibika ila punde si mda ...
09/28/2016

Wadau wangu,mara fiki zangu,jamaa zangu
naomben sura yenu kifaa changu cha kupostia story kimeharibika ila punde si mda mrefu kitakuwa poa tu
na TAMTHILIYA nilizoziandaa mpaka saa ni:-

ANAENIPENDA
na

******sio mda nitaanza kuzidondosha cha msing ww ni kulike page k**a bado

Sasa tunakosajee na hiii ***  """Hii ni tamthililya ilio beba ujumbe mzuri kuliko tamthilia yeyte nilio iandaa cha msing...
09/25/2016

Sasa tunakosajee na hiii
***
"""Hii ni tamthililya ilio beba ujumbe mzuri kuliko tamthilia yeyte nilio iandaa cha msingi ww sogea kalibu tu na page hii na ulike tuwe pamoja mwanzo had mwisho wa tamthiliia hii
=====chakufanya bofya hapa kisha like
%%huo ndio mpango mzma

Address

1 World Way
Los Angeles, CA
90045

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tamthiliya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category