Reubens Gordonisco

Reubens Gordonisco πŸ“žπŸ“© πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ +254714820298

Shakib’s team has claimed that Kenyans refused to give them the Vurugu Championship Belt after Shakib defeated Arrow Bwo...
06/26/2026

Shakib’s team has claimed that Kenyans refused to give them the Vurugu Championship Belt after Shakib defeated Arrow Bwoy by knockout.

06/26/2026

if life gives u Abongo Jakabwana grab him with both hands n see what's the meaning of a true friend 🧑 Auma performance by Mr digi digi

Hawa watoto wawili, Sky and Tito, different life circumstances zimewafanya wabehave k**a watu wazima. Tito had a parenta...
06/26/2026

Hawa watoto wawili, Sky and Tito, different life circumstances zimewafanya wabehave k**a watu wazima. Tito had a parental role of a dad at a very young age just to take care of his young siblings, na Sky naye ameachwa na mamake at a very young age baada ya mamake kufariki. Wote ni first borns, and you know how first borns behave ,yaani ni k**a your mother. If you have had a first born kwenu, you can relate.

They are both brilliant.But I have a problem with Kenyans. Sky akiongea hapa kidogo kuwashauri kuhusu ndoa na mambo mengine madogo madogo, mnajam na labda ni vitu amelearn tu huku online ama shule, juu shule za siku hizi sio k**a kitambo. Lakini Tito anapowashauri kuhusu life, mnatulia tu vizuri mkisikiza hadi mnasema He's mature than your EXs πŸ˜…πŸ€£.

Jana Tito ameambia watu wasisikize maneno ya watu, wamtegemee Mungu peke yake β€” ushauri mzuri kwa Kenyans. Waacheni Sky ajaribu advice kidogo, mara oh ameharibika. Like why can’t we also hype our girl Sky the way we are hyping our son Tito, like what’s the difference?

These two kids are very unique and I like them. They both know how to handle things in a mature way. Kudos.

Naona online in-laws wamejaza ma-advice huko kwa comment section ya DEM wa FB eti afunge tumbo na leso ndo tumbo isikuwe...
06/25/2026

Naona online in-laws wamejaza ma-advice huko kwa comment section ya DEM wa FB eti afunge tumbo na leso ndo tumbo isikuwe kubwa

Kuuliza tu: Watu wa CS wanafaa kufunga tumbo na leso? Halafu ni vitu gani ambavyo mtu aliyejifungua kwa CS hafai kufanya, na ni vyakula gani bora zaidi kwa mama ambaye amejifungua kwa CS?

Leo wacheni nisome kutoka kwenu.

Huyu mtoto wa Kanyari, Sky Victor, enyewe atatuonyesha mambo na hii akili yake ya mbele sana! πŸ˜‚ Kwanza anasema ati anaon...
06/25/2026

Huyu mtoto wa Kanyari, Sky Victor, enyewe atatuonyesha mambo na hii akili yake ya mbele sana! πŸ˜‚ Kwanza anasema ati anaona chuo (college) ikiwa kitu "useless" , alafu anaongeza kuwa akigonga miaka 25 anataka kuanza kupata watoto wake papo hapo. Ni wazi kuwa huyu binti anataka kukimbizana na wakati; anapuuza masomo ya kawaida ambayo vijana wengi wanapigania huku akipanga kuanza majukumu ya kulea mapema sana umri ambao wenzake bado wanajaribu kutafuta mwelekeo wa maisha na kupiga sherehe.
Je, unaona Sky Victor yuko sahihi kusema chuo (college) siku hizi kimekuwa "useless" kwa vijana wanaotaka kufanikiwa kimaisha? Na je, unadhani kupata watoto ukiwa na miaka 25 ni uamuzi mzuri wa busara ili uleane nao, au ni mapema mno kulingana na uchumi wa sasa?

abongo jakabwana vs Prince Indah  nani mkali kwa live performance β™₯️ πŸ‘
06/25/2026

abongo jakabwana vs Prince Indah nani mkali kwa live performance β™₯️ πŸ‘

β€œMimi Sitaki Kuenda College, I Find It Too Useless. At 25 I Will Start Thinking About Having Kids” – Sky Victor Kanyari ...
06/25/2026

β€œMimi Sitaki Kuenda College, I Find It Too Useless. At 25 I Will Start Thinking About Having Kids” – Sky Victor Kanyari Says.

online DCIs ebu mtuambie baba watoto ni nani ,juu kuna mzungu mkenya anasema yeye ndio baba wa hawa matwins wa dem wa Fa...
06/25/2026

online DCIs ebu mtuambie baba watoto ni nani ,juu kuna mzungu mkenya anasema yeye ndio baba wa hawa matwins wa dem wa Facebook πŸ˜„ πŸ˜€

kBC admin anatokanga wapi bydha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…ama alijuaje lines za Prince Indah (janabi)
06/25/2026

kBC admin anatokanga wapi bydha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…ama alijuaje lines za Prince Indah (janabi)

What Advice Can You Currently Give Pastor Kanyari's Daughter, Sky Victor?Sky Victor Ambaye  Ni Mtoto wa pastor Kanyari a...
06/24/2026

What Advice Can You Currently Give Pastor Kanyari's Daughter, Sky Victor?

Sky Victor Ambaye Ni Mtoto wa pastor Kanyari anasema kuwa TANGU Ampoteze mama yakei, ETY arafiki zake WALimtoroka na hawajawahi hata Kumjulia hali

WEWe binafsi umewahi KUjipata kwa hali k**a hii Yenye marafiki wanapotea .....

Address

Florid, IL
00100

Telephone

+93734858292

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reubens Gordonisco posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share