Maradhi Na Tiba Zake

Maradhi Na Tiba Zake ukurasa huu utakujulisha wewe kuweza kutatua maradhi yanyo kusumbua mwilini

beautifull 😍
08/13/2022

beautifull 😍

amazing bro 🤪
08/12/2022

amazing bro 🤪

06/22/2022
06/22/2022

❇️ *UNAFAHAMU NINI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI❓*

*Kisukari (Diabetic)ni ugonjwa unaonyesha viwango vikubwa vya*
*Glukosi katika Damu. Sababu yake ni uhaba wa Hormone ya Insuline Mwilini Au upungufu wa uwezo wa Mwili wa kukabiliana na Insuline.*

❇️ *VIASHIRIA VYA UGONJWA WA KISUKARI*

✳️ *-Unene uliozidi na kiribatumbo*
✳️ *-Ulaji Mbaya wa chakula*
✳️ *-Baadhi ya Madawa*
✳️ *-Msongo wa Mawazo*
✳️ *-Kutofanya Mazoezi*
✳️ *-Magonjwa yanayoharibu Kongosho*
*✳️-Utumiaji wa pombe uliozidi na utumiaj wa sigara*
✳️ *-Historia ya Ugonjwa wa kisukari kwenye familia*
*✳️-Umri zaidi ya miaka arobaini kadiri tunavyozeeka na kongosho letu linapunguza uwezo wa kuzalisha Insuline.*

❇️ *DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*

✳️ *-Kiu ya mara kwa mara*
✳️ *-Kupungua uzito licha ya kula vizuri*
✳️ *-Njaa Kali haswa mara kwa mara*
✳️ *-Kizungu zungu*
✳️ *-Macho kupungua uwezo wa kuona*
✳️ *-Kukojoa kupita kiasi cha kawaida*
✳️ *-Kidonda kisichopona haraka*

*❇️MADHARA YA KISUKARI ENDAPO UTAPUUZA*

✳️ *-Magonjwa ya Moyo*
✳️ *-Kiharusi/Kupooza*
✳️ *-Kupungua Nguvu za kiume*
✳️ *-Figo Kushindwa kufanya kazi*

⚠️ Wasialina na Mimi sasa, Sukari inatibika

05/27/2022
Kwa maelezo zaid njoo inbox
05/27/2022

Kwa maelezo zaid njoo inbox

Address

Dallas, TX

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maradhi Na Tiba Zake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share