Zenji255

Zenji255 Zenji255 is one of the best entertainment news portal. It also covers news, new music and videos blo Zenji255 ni blog inayotoa habari za burudani.

Pia imesheheni habari za wasanii, nyimbo na video mpya za wasanii kutokea visiwani Zanzibar na kwingineko duniani.

Mungu ailaze roho ya rais Dkt.  mahali pema peponi. Amen 🇹🇿   Mr. President
18/03/2021

Mungu ailaze roho ya rais Dkt. mahali pema peponi. Amen 🇹🇿 Mr. President

Get ready!!!   Music App.
09/08/2020

Get ready!!! Music App.

Kaa tayari! Sikiliza muziki, nunua na upakue (download) wimbo wa msanii umpendae kutoka visiwani Zanzibar na kote dunian...
03/07/2020

Kaa tayari! Sikiliza muziki, nunua na upakue (download) wimbo wa msanii umpendae kutoka visiwani Zanzibar na kote duniani. (Level Up) inakuja hivi karibuni kwenye simu yako ya na

  "Zanzibar inathamini michango inaotolewa na taasisi za kiraia" - Mhe. Harusi Said Suleiman
03/04/2020

"Zanzibar inathamini michango inaotolewa na taasisi za kiraia" - Mhe. Harusi Said Suleiman

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imesema inathamini michango inayotolewa na taasisi za kiraia katika juhudi za kukabiliana na maradhi yanayosababishwa na virus

  Vifaa zaidi vya uchunguzi vyahitajika kuongezeka katika bandari ya Malindi kukabiliana na Corona
31/03/2020

Vifaa zaidi vya uchunguzi vyahitajika kuongezeka katika bandari ya Malindi kukabiliana na Corona

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema vifaa zaidi vya uchunguzi wa maradhi ya Korona vinahitajika kwa wananchi wanaoingia na kutoka katika bandari ya Malindi Z

  New Music: Zanzibar Fleva Unit waachia wimbo mpya "Corona ni Hatari"
30/03/2020

New Music: Zanzibar Fleva Unit waachia wimbo mpya "Corona ni Hatari"

Umoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar Flava Unit wameachia wimbo mpya ambao unaozungumzia dhidi ya ugonjwa hatari wa COVID-19 unaosababishwa na vi

  "Watakaokiuka agizo la Serikali la kuzuia watachakulia hatua kali za kisheria" - Mhe. Khamis Juma Maalim
30/03/2020

"Watakaokiuka agizo la Serikali la kuzuia watachakulia hatua kali za kisheria" - Mhe. Khamis Juma Maalim

Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Mhe Khamis Juma Maalim amesema Serikali haitowafumbia macho Wananchi wanaokaidi agizo lililotolewa na Serikali la kuzuia mi

  Sauti za Busara 2020 na kampeni dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye muziki
27/01/2020

Sauti za Busara 2020 na kampeni dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye muziki

Wasanii wengi wa k**e barani Afrika na kwingineko huendelea kupambana na unyanyasaji wa kijinsia katika tasnia ambayo inaendelea kubaki chini ya mfumo dume. Wa

  New Music: Wiz D ft. Taly - Hapo
07/01/2020

New Music: Wiz D ft. Taly - Hapo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D ameufungua kwa kuachia wimbo wake mpya unaitwa "Hapo" akiwa amemshirikisha mwanadada Taly. Wimbo umetayarishwa na produ

  New Music: Sharo Music - Download
24/12/2019

New Music: Sharo Music - Download

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Sharo Music ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Download". Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. kutoka studio za Furaha R

  New Music: Rayna - Nitazoea
13/12/2019

New Music: Rayna - Nitazoea

Msanii wa k**e wa kizazi kipya Rayna ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Nitazoea". Wimbo umetayarishwa na producer Dapro kutokea Blueprint Music Station. Si

Address

Stone Town
Zanzibar
P.O.BOX867

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zenji255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share