KMT Jimbo la Mbozi. Malakia Kwaya-Majengo.

KMT Jimbo la Mbozi. Malakia Kwaya-Majengo. Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.

2 Timotheo 1:7

Jina la Bwana Litukuzwe
12/07/2023

Jina la Bwana Litukuzwe

Jina la Bwana Lihimidiwe
11/07/2023

Jina la Bwana Lihimidiwe

All about Yesterday's Event "K**a Sio Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israel na aseme sasa"
10/07/2023

All about Yesterday's Event
"K**a Sio Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israel na aseme sasa"

10/07/2023
Hakika Kunayo raha na Amani Uweponi wa Mungu.
09/07/2023

Hakika Kunayo raha na Amani Uweponi wa Mungu.

Tunamshukuru Mungu Mkutano wa Mtaa 2023 umeisha salama Leo tarehe 07-07-2023.Pendo lake Yesu la Msalaba Limetubeba.
09/07/2023

Tunamshukuru Mungu Mkutano wa Mtaa 2023 umeisha salama Leo tarehe 07-07-2023.

Pendo lake Yesu la Msalaba Limetubeba.

Tunawakaribisha Wapendwa Wote Katika Ukurasa wetu huu wa KMT Jimbo la Mbozi. Malakia Kwaya-Majengo. Zaburi 33:3๐ŸฅMwimbien...
09/07/2023

Tunawakaribisha Wapendwa Wote Katika Ukurasa wetu huu wa KMT Jimbo la Mbozi. Malakia Kwaya-Majengo.

Zaburi 33:3๐Ÿฅ
Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya,
Pigeni Kwa Ustadi Kwa Sauti Ya Shangwe.๐ŸŽผ

Kumbe Siyo Kuimba tu Katika Roho na Kweli Kunako Mpendeza Mungu,
Bali Pia Kuimba Kwa Ustadi (Umahiri).
๐ŸŽท๐ŸŽบ๐Ÿฅ๐ŸŽผ๐ŸŽน
Hivyo Basi Tamanio la Kwaya Yetu ya Malakia, kwa Kifupi (MK-Majengo) Ni Kukaza Viwango Ili Kuufikia Ustadi Anaoutamani Mungu Tunapomwimbia.
๐ŸŽง๐ŸŽค๐Ÿฅ๐Ÿช˜
Ukiwa Hapa Tamani Kukua Kila Siku Katika Huduma Yako Ya Uimbaji๐Ÿช—๐ŸŽบ๐ŸŽท๐ŸŽค๐ŸŽน๐Ÿฅ

Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.

2 Timotheo 1:7

Address

Vwawa

Telephone

+255756458780

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KMT Jimbo la Mbozi. Malakia Kwaya-Majengo. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category