Mr Lishe

Mr Lishe Nasaidia wanaume kurejesha nguvu za kiume
Kuboresha mbegu & uwezo wa kutungisha mimba
Natural approach bila madhara
📞 0793404961

11/06/2026

Hii ndiyo sababu ya mimba kuharibika.

Sikiliza video hii mwisho nimetoa suluhisho.

11/06/2026

Ni program inayoboresha mbegu za kiume kwa mwanaume ambaye IVF hai kufanikiwa.

11/06/2026

Nimekuandalia programs mbili tu ,ndani ya siku 90 utakuwa baba kijacho.

+255793404961

K**a wanandoa wanaotafuta kila mmoja amepima na ikagundulika kuwa mwanaume ana changamoto ya mbegu basi muhimu sana kufa...
10/06/2026

K**a wanandoa wanaotafuta kila mmoja amepima na ikagundulika kuwa mwanaume ana changamoto ya mbegu basi muhimu sana kufahamu mambo haya 4.

Mbegu inaathirika maeneo 4muhimu sana.

1.Idadi
Kutokana na tafiti Kutoka WHO mwanaume anatakiwa kuwa na zaidi ya mbegu 15 million kwa kila mililita ya shahawa kwa bao.

2.mwendo
Tafiti zinaendelea angalau 42% au zaidi ya mbegu zinatakiwa kuwa na Mwendo mzuri.

3.Maumbo
Tafiti zinaendelea angalau 4% au zaidi ya mbegu iwe na kichwa,sehemu ya kati na mkia vyote viwe katika umbo sahihi.

4.DNA
Tafiti zinaendelea angalau sehemu ya kichwa cha mbegu Ibebe nyuzi za DNA 🧬 chini ya 15% bora zaidi na 15%-30% lakini sio zaidi ya hapo ,

Mwanaume anapopata tatizo la mbegu maeneo yote haya yanakuwa yameathirika ,

Kosa.
Dawa /suppliment nyingi anatumia Inaboresha idadi,mwendo na maumbo.
Wakati sehemu muhimu sana DNA 🧬 inaachwa.

Nitumie vipimo vya semen analysis nikushauri.

WhatsApp 0793404961

10/06/2026

Nimekuandalia mpango mzuri wa kitaalamu itakayosaidia kukupa uwezo wa kupata mtoto,

Sikiliza hii video

09/06/2026

Mbegu zinakufa na hujui tatizo ni lipi.
Nimekuandalia programu rahisi itakusaidia kuboresha mbegu za kiume.

09/06/2026

Hebu Sikiliza jinsi ya kuondokana na hali hiyo.

07/06/2026

Madini muhimu sana kwa uzalishaji wa mbegu za kiume,

05/06/2026

Virutubisho muhimu kwa ajili ya mbegu za kiume zenye
Mwendo mzuri
Idadi nzuri
Maumbo mazuri
DNA nzuri

Tupigie simu +255793404961

Address

Ilala Sokoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mr Lishe:

  • Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment?

Share