Davson Enterprenuers

Davson Enterprenuers The sun will rise again in the morning

14/05/2019
20/06/2016

NI SEMINA YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VITENDO.

11/03/2016

Ni vitambaa vizuri kwa kushona nguo za kiume na za k**e.
Kwa order maalum pia vyaweza kutengenezwa.
Bei ni maelewano.
Contacts/mawasiliano: +255764013664
Email:[email protected]

22/02/2016

Ni bidhaa mpya kutoka kwa Wajasiliamali Tanzania, ni kazi ya mikono iliyo bora zaidi, inapatikana kwa gharama ya Tsh 7,500/= tu!. Pia tunatengeneza kwa order maalum kwa rangi upendayo na mtindo uutakao. Tuka tayari kukuhudumia, popote ulipo tutakufikia.
Contacts/Mawasiliano: +255764013664/ +255716349194.
Email/ Barua pepe: [email protected]
Karibu sana.

28/01/2016

Ni mwaka 2016 tena tunamshukuru Mungu kwa ulinzi wake,kwa wakazi wa Dar es salaam tunaendelea na semina zetu za kazi za mikono kwa vitendo na ni kwa vikundi mbalimbali hivi karibuni.Masomo yenyewe ni pamoja na usindikaji wa vyakula mashambani,usindikaji wa bidhaa za viwandani k**a sabuni kwa aina zake,mazulia au Carpet,Ufugaji wa kisasa wa kuku na ndege wengine,samaki na wanyama wengineo wafugwao,Tutengeneza biogas,mikoba na wallets,vyungu vya maua n.k. Ni kwa gharama nafuu sana tena tunawafikia mahala mlipo hapa jijini Dar es salaam.
# :0785185094

Vinauzwa bei nafuu sana.
27/11/2015

Vinauzwa bei nafuu sana.

Mikoba bei ya jumla kuanzia kumi kwa kimoja kwa Tsh 27,500/= tu! , Bei ya moja pekee Tsh 30,000/= tu!,Ukitaka mkoba moja...
11/10/2015

Mikoba bei ya jumla kuanzia kumi kwa kimoja kwa Tsh 27,500/= tu! , Bei ya moja pekee Tsh 30,000/= tu!,
Ukitaka mkoba moja na wallet yake ni Tsh 45,000/= tu!

Mawasiliano:+255785185094

FOR SALE
23/09/2015

FOR SALE

11/09/2015
We sell it Phone number:+255716349194/+255764013664
11/09/2015

We sell it
Phone number:+255716349194/+255764013664

Address

Temeke

Telephone

+255764013664

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Davson Enterprenuers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share