Kazi Kwanza Group On Line

Kazi Kwanza Group  On Line Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kazi Kwanza Group On Line, Art, Tarime.

Ivi ni kwel
22/01/2023

Ivi ni kwel

Sam Dar Just completed 25 Free Spins and won 76,460 Coins on Crazy Train! Click and join the fun!

11/04/2019

HII INA KUHUSU SANA!

1. Ikiwa unaongea sana, upo wakati utaongea uwongo

2. Ikiwa unafikiri sana, utapata udhuni na utafadhaika

3. Ukilia sana, utapoteza ulichokuwa unalilia na mishapa ya fahamu ya macho itapoteza nguvu

4. Ukipenda sana, utapotea Kwa stress

5. Ukiwa unajali sana, utachukuliwa kwa urahisi

6. Ukiwa mchezaji mzuri sana, Mara nyingi huwezi kuchukulia umuhimu ulionao

7. Ukimwamini sana mpenzi wako , ipo siku lazima atakusaliti tu..

8. Ukiwa unafanya kazi sana kapitiliza Muda wa Kawaida , utakufa kwa stress na mawazo

9. Ukiwa unakula kula Sana hovyo hovyo , utakuwa na tabia ya uchoyo na utavimbiwa na kupata magonjwa ya utapia mlo

10.K**a unalala sana, lazima utakuwa mvivu tu

11. ikiwa unatumia sana fedha hovyo hovyo bila mpangilio , huwezi kuwa na Maendeleo ya baadae

12. ikiwa unatumia sana make up , ipo siku utapoteza uzuri wako wote

13. ikiwa unachagua sana mtu wa kuishi naye unyumba , utapoteza lengo lako

14. Ikiwa unapangilia sana maisha na uhai , unaweza kupoteza kila kitu.

LAKINI ...

K**a Unapoomba sana Mungu,, Mungu Baba atakupa kila kitu

K**a Unapokuwa mgonjwa sana, ukimuomba Mungu, Mungu Baba atakupa uzima wa afya njema

Unapowatendea mema watu, Mara nyingi utakuwa na amani

Unapokuwa mwangalifu sana, Mungu Baba anakuongezea ulinzi dhidi ya shetani muovu

GENIUS KABISA EBU SOMA HII KISHA SEMA NENO LOLOTE KWA MTOTO HUYU. Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani ...
20/05/2018

GENIUS KABISA EBU SOMA HII KISHA SEMA NENO LOLOTE KWA MTOTO HUYU.

Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la 3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo.

Maswali ni haya....

Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi?

Dogo: Yatabaki 19.

Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo kwenye friji.

Dogo: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga.

Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani kwenye friji.

Dogo: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka unamueka nyani kisha unafunga friji.

Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini?

Dogo: Ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye friji.

Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje?

Dogo: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba.

Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa Unadhani kwa nini?

Dogo: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini.

Mwalimu mkuu: Huyu dogo akasome chuo kikuu ....

Unakubaliana aende darasa gani au chuo kikuu?
Funguka.

SWALI:KWANINI ALIKIBA HUNA  ??ALIKIBA AJIBU:-           Binadamu yeyote aliyekamili,aliye mwema ana uhuru wa kutembea kw...
12/05/2018

SWALI:KWANINI ALIKIBA HUNA ??
ALIKIBA AJIBU:-
Binadamu yeyote aliyekamili,aliye mwema ana uhuru wa kutembea kwa kujiamini kwenye Ardhi ya Mwenyezi MUNGU.K**a wewe ni mwema hujatenda maasi kwanini kwanini utembee kwa wasiwasi??

Alisema Alikiba na kusisitiza kwamba anaamini mashabiki wake ndiyo watu wake wa karibu zaidi na humtazama popote alipo.
Der sniper tz


Maoni yako ni ya muhimu

Address

Tarime

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kazi Kwanza Group On Line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category