Sayuni Choir Moravian Tanga

Sayuni Choir Moravian Tanga Hii ni Sayuni Choir vijana wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Chumbageni Tanga, Tanzania.

1 Yohana 2:15A
16/09/2024

1 Yohana 2:15A

01/10/2023

Vijana wa Ushirika wa Galilaya Buza wakiimba shairi katika Kanisa La Moravian Ushirika wa Chumbageni, Tanga

01/10/2023

Tumepata baraka ya kushiriki pamoja na wenzetu kutoka Kanisa la Moravian Ushirika wa Galilaya Buza, Dar es Salaam, ibada ilikuwa njema sana.

21/09/2023

Basi sasa, sikieni asemavyo BWANA; Simama, ujitetee mbele ya milima, vilima navyo na visikie sauti yako.
Mik 6:1

Sayuni Choir wakihidumu Ushirika wa Babati katika Mkutano wa Vijana wa Jimbo...Happy Sunday
17/09/2023

Sayuni Choir wakihidumu Ushirika wa Babati katika Mkutano wa Vijana wa Jimbo...Happy Sunday

15/09/2023

Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. K*t. 14:14

04/07/2023

"Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono ya wazee." 1 Tim. 4:14

02/07/2023
Leo tarehe 02/07/2023 Vijana wa Ushirika wa Chumbageni, Tanga wamefanya sikukuu ya vijana sambamba na shughuli hiyo wame...
02/07/2023

Leo tarehe 02/07/2023 Vijana wa Ushirika wa Chumbageni, Tanga wamefanya sikukuu ya vijana sambamba na shughuli hiyo wamefanya na changizo la ununuzi wa vyombo ili kuongeza vyombo vya muziki. Siku ilikwenda vyema sana, Mungu ni Mwema.

Address

Chumbageni
Tanga

Telephone

+255689339889

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sayuni Choir Moravian Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Sayuni Choir Moravian Tanga:

Share

Category