Mad Rhino Studio Tanzania

Mad Rhino Studio Tanzania Tanga's leading one stop services. OUR MISSION. OUR GOAL
To strive for excelence in all aspects of the company.

We are established company dealing with Audio and Video production,Sales,marketing and distribution solutions,Computer repair,maintencen and networking and Entertainment in general.ie arranging Concerts,weddings,movie theater,Music label.etc

OUR VISION
To provide excellent service while keeping up with technology. To expand beyond company borders and work hand to hand with our clients to reach goals set by our company and our clients.

Alhamdulillah for everything. With my better half!
06/05/2023

Alhamdulillah for everything. With my better half!

23/05/2021
23/05/2021

Something new in coming, be on the watch out......

28/06/2020

Mambo mazuri yapo jikoni.. Kaa mkao wa kula

25/11/2018

Another production brought to you by thw one and only number one production company ina Tanzania- Madrhino studio TZ

13/11/2018

Habari za masiku wadau. Tupo kwenye mchakato wa kuandaa filamu nyingine. Safari hii tunapenda kuwashirikisha wadau wetu katika mchakato huu wa kuchagua ni aina gani ya filamu tuandae. Ninamaanisha filamu za kuchekesha, za kifamilia, za dini, za kutisha, za kusisimua au za action? Ninasubiri maoni yenu. Asanteni sana!

28/09/2018

Ukimya wakati mwingine ni mwanzo wa mambo makubwa. Wakati tunajiandaa kuja kivingine na kimataifa zaidi inatupasa kuwa kimya tukipanga mashambulizi yetu. Kwa upabde wa tamthilia, filamu na hata cartoons tutahusika sana! Usikahushe mikono chakula karibu kitatengwa mezani! Shukran kwa kuja kwenye mualiko juu!

At the Cinema Zetu nomination and award ceremony
02/04/2018

At the Cinema Zetu nomination and award ceremony

12/09/2017

Habari zenu wadau na wapenzi wa MadRhino. kuna jambo kubwa tunawaandalia! Ukimya siyo wa bure. Naomba muendelee kutupa support nyingi. One Love!

Kwanza tunapenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kupiga hatua nyingine kwa kukamilisha kazi...
16/04/2017

Kwanza tunapenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kupiga hatua nyingine kwa kukamilisha kazi hii. Pia ningependa kuwashukuru wadau na wapenzi wote wa Madrhino Studio kwa kuwa pamoja n**i katika kipindi huku chote. Tuna furaha kubwa kuwajulisha kuwa kazi mliyokuwa mnaisubiri sasa ipo sokoni. Jipatie nakala yako kwa jumping is simu producer/director wa masoko kwa simu namba +255 65 547 5795. Gharama ya nakala ni Tsh 3,000 tu. Asante kwa kuwa mdau wetu wa kweli!

Address

Tanga

Opening Hours

Monday 08:00 - 06:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 09:30 - 04:30
Sunday 10:00 - 04:00

Telephone

+255653956162

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mad Rhino Studio Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share