17/08/2020
Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. John Pombe Magufuli leo Aug 17, anatarajia kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi katika Mkutano wa 40 wa SADC utakaofanyika kwa video kuanzia saa 5:00.