AICT Tabora CHOIR ATC

AICT Tabora CHOIR ATC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AICT Tabora CHOIR ATC, Choir, BOX 1666 TABORA TZ, Tabora.

25/01/2023

Live music from our musician team🔥
Watch full video in our youtube channel.

sehemu salama ya kuweka hazina yetu ni *mbinguni*

Weka *HAZINA* yako mbinguni ambako hakuna nondo, kutu wala wevi🧳                            endelea kusubscribe kwenye a...
15/01/2023

Weka *HAZINA* yako mbinguni ambako hakuna nondo, kutu wala wevi🧳 endelea kusubscribe kwenye account yetu ya youtube ili uwe wa kwanza kubarikiwa na video ya wimbo huu.🤝

Tunawatakia watanzania wote kumbukumbu njema ya Miaka 59 ya mapinduzi ya Zanzibar 🙏🏾
12/01/2023

Tunawatakia watanzania wote kumbukumbu njema ya Miaka 59 ya mapinduzi ya Zanzibar 🙏🏾

It’s new year 2023   to glory #.            Stay tuned🙏🏾
07/01/2023

It’s new year 2023 to glory #. Stay tuned🙏🏾

Heri ya mwaka Mpya kwa watu wote, mwaka huu 2023 ukawe wenye kuendeleza kutimiza kusudi la Mungu kutuweka katika huduma ...
31/12/2022

Heri ya mwaka Mpya kwa watu wote, mwaka huu 2023 ukawe wenye kuendeleza kutimiza kusudi la Mungu kutuweka katika huduma yake hapa duniani. MATHAYO 28:19🙏🏾

Vita umevipiga imani umeilinda, Pumzika kwa Amani Baba Yetu
29/12/2022

Vita umevipiga imani umeilinda, Pumzika kwa Amani Baba Yetu

Tanzia:Askofu Mkuu wa Africa Inland Church Tanzania, M***a Masanja Magwesela anatangaza kuitwa utukufuni kwa Mtumishi wa...
29/12/2022

Tanzia:

Askofu Mkuu wa Africa Inland Church Tanzania, M***a Masanja Magwesela anatangaza kuitwa utukufuni kwa Mtumishi wa Mungu Baba Askofu Mstaafu, Dkt Peter Kitula akiwa katika Hospital ya Muhimbili, Dar es Salaam. Baba Askofu Dkt. Kitula kamaliza mwendo wake na kupumzika siku ya Alhamis, Desemba 29, 2022 saa 12:30 jioni! BWANA amjalie Mama Esther Kitula, uzao wake na atujalie sisi sote utulivu tunapopita katika kipindi hiki cha maombolezo. 2 Timotheo 4:7

Mungu u mkuu kuliko wote endelea kututumia mahali hapa   #
25/12/2022

Mungu u mkuu kuliko wote endelea kututumia mahali hapa #

Kusudi la kuzaliwa kwa Yesu Kristo ni ili atukomboe sisi na wewe. Heri ya Christmas kwa wakristo wote.   #
25/12/2022

Kusudi la kuzaliwa kwa Yesu Kristo ni ili atukomboe sisi na wewe. Heri ya Christmas kwa wakristo wote. #

we glorify your presence   #
24/12/2022

we glorify your presence #

Mungu ni mwema sana   #
24/12/2022

Mungu ni mwema sana #

Mungu ni mwema sana   #
24/12/2022

Mungu ni mwema sana #

Address

BOX 1666 TABORA TZ
Tabora

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AICT Tabora CHOIR ATC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category