Ridhi-Flavour tz

Mwenyezi MUNGU aongoze hatua zako zote, akulinde na kukupa amani tele, milango yote ya baraka ifunguke, mabaya yote yasi...
10/01/2026

Mwenyezi MUNGU aongoze hatua zako zote, akulinde na kukupa amani tele, milango yote ya baraka ifunguke, mabaya yote yasikupate, katika jina la YESU Amina. 🙏

🌟🌹FARAJA YA KWELI🌹 🌟Wapambanaji ni watu maalum. Wanachoka lakini hawakati tamaa, wanaanguka lakini hawakubali kubaki chi...
06/12/2025

🌟🌹FARAJA YA KWELI🌹 🌟

Wapambanaji ni watu maalum. Wanachoka lakini hawakati tamaa, wanaanguka lakini hawakubali kubaki chini. K**a wewe unayesoma sasa hivi — una moyo wa chuma, hata k**a ulimwengu hauoni. Kila siku unapoamka ukiwa na maumivu, presha, au ukosefu wa msaada, kisha bado unaamua kupambana… hiyo ni ushindi tayari.

Usijione mdogo. Kile unachopitia kingemvunja mtu mwingine, lakini wewe bado uko hapa. Hiyo ina maana jambo kubwa sana linakuja mbele yako. Kila mapito yako leo yanakuandaa kuwa mtu ambaye Mungu amekukusudia uwe. Hakuna maumivu yasiyo na sababu, hakuna changamoto isiyo na mwisho.

Endelea kupambana taratibu. Hatua ndogo kwa leo ni ushindi. Kupumzika pia ni sehemu ya safari. Ukishindwa leo, jaribu tena kesho. Ukilia leo, kesha kesho ukiwa na tabasamu jipya. Ukikataliwa leo, siku yako ya kukubaliwa ipo njiani.

Nakukumbusha tu:
`Wewe ni imara kuliko unavyofikiri, na safari yako bado haijamalizika. Moyo wako una nguvu za kuvuka hata pale akili inapokwambia haiwezekani.`

Endelea kupigania kesho iliyo bora. Dunia bado inahitaji nguvu zako, roho yako, na nuru yako. 💛✨

`K**a umeusoma ujumbe huu wew mpambanaji weka reaction(emoj) yoyote✊️🫵`

17/11/2025

New song I'm coming soon
Kasome Tz

https://youtube.com/?si=wwKzDrR681xt6nc5                       Naitwa   Karibu kwenye channel yangu  usisaha ku subscrib...
25/10/2025

https://youtube.com/?si=wwKzDrR681xt6nc5
Naitwa
Karibu kwenye channel yangu usisaha ku subscribed naku share naku like naku comments ahsanteh

artist music Bongo gospel eat African lives in 2557 61637391

Bora neno 😏
06/09/2025

Bora neno 😏

Dah noma sana siku zinasogea kumbe e                                ilikuwa 2018  Kasome Tz
03/09/2025

Dah noma sana siku zinasogea kumbe e
ilikuwa 2018 Kasome Tz

Kwahisani ya mungu naendelea
24/08/2025

Kwahisani ya mungu naendelea

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Lusubilo Mwanjala, John Mgala, Salmin Juma, Teddy Mbiliny...
12/08/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Lusubilo Mwanjala, John Mgala, Salmin Juma, Teddy Mbilinyi, Hashimu Hassan Hashimu Hassan, Mzambia P Kisambwe, Belinda Mkilindi, Ismail Pwetete, Juma Juma, Mustafa Jongo, Yustin Cyprian, Neema Shedraki, Andrea Njau, Vicent Msanii, Christophe Pascal, Hansy Beka, Magreth Subira Paulo, Warda Kisaki, Daniel Mwisaka, John Kuria Macharia, Khalifa Ngalema, Asha Saidy, Hassan Twahiry, Eustela Sadick, Rency Ray, Donati Marandu, Issaya Chang'a, Emmanuel Maduhu Isuna, Jack Konk, Bayhaqii Abdallah, Sarah Robati, Sentinel Stepper, Steven Samwel, Dayzer Classïç, Ester Jurias, Hamdan Salimu, Sarah Simon, Salum Ally, Nuru Mwamkinga, Munirahamza Abdalla, Maicko Ibrahim, Ishara Usafiri Tz, Atupokile Mwakyusa, Moureen Muhingira, Atu Jackson, Forget Enocki, Dickison Tarimo, Benja Benjamin, Matha Elia, Bahat Stanely

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Eliza Eliza, Anifa Yusufu, Shabani Hamisi, Samson Ernest,...
06/08/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Eliza Eliza, Anifa Yusufu, Shabani Hamisi, Samson Ernest, Bi Asia, Silvester Temu, Jane Mkandawile, Mozesihaonga Mozesihaonga, Bakalialfani, Kingi Sulle, Tina Tina, Castory Benson, Uwimana Kelly, Hamisa Mbeto, Pasco Irunde, Lecho Kawilo, Maria Stivivn Mataligana, Ashura Yasini, Ramla Asumani, Neema Raphael, Anjela Enock, Seba Simoni, Marry Elia, Zainabu Nahimu, Baraka Kakwaya, Linent Isanda, Warida Ramadhan, Widern G Fute, Mchapakazi Assa, Salome Mwanga, Christopher Alex Tewa, Rehema Mnli, Safinna Seif, Assumaya Simwengu, Anakreta Gwidwa, Hamza Mchevu, Kulwa Sadick, Tatu Yohana, Greyson Ndinde, Zaire Steven, Isaya Bugalama, Magreth Johnas, Joshua Parlais, Abeli Leonard, Mariamu Hamisi, Amissa Omary, Jacqueline Kamonyi, Fau Chilomba, Shukran Amon, Shani Ngodoka

Address

Singida

Telephone

+255752026445

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ridhi-Flavour tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Ridhi-Flavour tz:

Share