Tarq Sancho Sanchez

Tarq Sancho Sanchez Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tarq Sancho Sanchez, Arts and entertainment, nangurukuru, Ruangwa.

Kile kinacho kuja kirahisi huwa hakidumu na pia kinacho dumu hakiji kirahisi....✍️
27/01/2024

Kile kinacho kuja kirahisi huwa hakidumu na pia kinacho dumu hakiji kirahisi....✍️

Jaji mahak**ani nawaukumu Ukumu ya kifo Nahumu Ndo nyumbani Ntapo ishi mpaka mwisho mwaga pesa kwenye Caunta bila presha...
27/12/2023

Jaji mahak**ani nawaukumu
Ukumu ya kifo Nahumu
Ndo nyumbani Ntapo ishi mpaka
mwisho mwaga pesa kwenye Caunta bila presha mbele yabausa Rap Internet mbishi nawacholesha k**a prouza Full kujichunga huuru Unanituza Kitaani Naacha Skendo K**a Lulu na Kanumba Siachi kutoa somo Nafasi k**a hii Mahaarim Nisiye Napromo K**a

22/12/2023
Nanjirinji bango linaongea
27/06/2023

Nanjirinji bango linaongea

Man Of The Match  🏆 Djigui Diarra  🧤🧤🙌🏽
04/06/2023

Man Of The Match 🏆

Djigui Diarra 🧤🧤🙌🏽


YANGA HAWAJAFA KIUME WAMEKUFA KISHUJAAAmeandika Mchambuzi Ahmad Mkunda" Nliwapa Yanga Asilimia Kubwa ya Kushinda na Kuch...
04/06/2023

YANGA HAWAJAFA KIUME WAMEKUFA KISHUJAA

Ameandika Mchambuzi Ahmad Mkunda

" Nliwapa Yanga Asilimia Kubwa ya Kushinda na Kuchukua Ubingwa lakini USM Algier Walistahili Kuwa Mabingwa, Sio Kwamba walikuwa Bora zaidi ya Wananchi Hapana ila Walikuwa Very Economically na Mikakati yao Kuhakikisha Ubingwa Unabakia Algeria

Yanga Walimiliki sana Mpira Bila Madhara Yeyote, Wachezaji wa Yanga Walikuwa Wanakaa sana na Mpira Mguuni It was a waste of time! Ili Yanga waweze kushindana Katika Kiwango Cha Ubingwa Wanahitaji Vitu viwili 2 Creative attacking Midfielders na 2 Clinical Finishers, Upande wa Goalkeeper Diara anatosha.

Pia Wasisahau Kumuongezea Mkataba Mnono Proffesor Nabi maana Ameshafungua njia kwenye Mpira wa Afrika Timu kubwa zaidi Zinamtazama, Maboss wa Yanga wakileta Ubahili wa Kumuongezea Pesa Nono Mapema k**a FEI Huenda wakampoteza.

Yote Kwa Yote Yanga Wamekufa Kishujaa 💪"

Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇

https://www.instagram.com/mudumohtz

Film & video Director ll Photographer📸Business man🌍 ll Director by haji mchinaCEO of Haji Mchina Brand production🎥 Call ...
31/05/2023

Film & video Director ll Photographer📸
Business man🌍 ll Director by haji mchina
CEO of Haji Mchina Brand production🎥 Call 0769976960 dar es salaam TANZANIA...

Film & video Director ll Photographer📸Business man🌍 ll Director by haji mchinaCEO of Haji Mchina Brand production🎥 Call ...
31/05/2023

Film & video Director ll Photographer📸
Business man🌍 ll Director by haji mchina
CEO of Haji Mchina Brand production🎥 Call 0769976960 dar es salaam TANZANIA...

Address

Nangurukuru
Ruangwa
360

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tarq Sancho Sanchez posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share