Mc Maskinijeuri94

Mc Maskinijeuri94 HARUSI
SEND-OFF
MAHAFARI
HARAMBEEE
ENGAGEMENT
UZINDUZI N. K
0754409746
0628046675

20/07/2024

Group Rasmi La Simulizi Kwa Sasa Utatakiwa Kulipia Tsh 4000 Kwa Mwezi Ambapo Ndani Ya Group Utapata Episode 4 Kwa Wiki Na Ni Episode 16 Kwa Mwezi, Episode Moja Ina Saa Nzima
Lipia Kupitia 0754409746 Jina Fikirini Ngailo
Baada Ya Kulipia Share Ujumbe Kwangu Ili Nikuunge πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Mambo Vipi Ndugu Msomaji Wa Chapisho HiliNyoosha Kidole Ikiwa Wewe Ni Kati Ya Wale Wapenzi Wa Simulizi Za Maskinijeuri94...
10/07/2024

Mambo Vipi Ndugu Msomaji Wa Chapisho Hili
Nyoosha Kidole Ikiwa Wewe Ni Kati Ya Wale Wapenzi Wa Simulizi Za Maskinijeuri94 Lakini Umekuwa Ukikosa Simulizi Hizi Kutokana Na

1.Upo Mbali Na Njombe Au
2.Unatingwa Na Majukumu

Narudia Tena Nyoosha Kidole.

LADIES AND GENTLEMEN THIS IS 2024 FOR REAL.__________________________________________________Yes Tulikuwa Na Mwaka Mzuri...
10/06/2024

LADIES AND GENTLEMEN THIS IS 2024 FOR REAL.
__________________________________________________

Yes Tulikuwa Na Mwaka Mzuri 2023 Katika Kufanya Shughuli Yako Iwe Bora Na Ya Kukumbukwa Na Hilo Lilifanyika Na Kufanikiwa Kwa Asilimia 100% Hivo Niseme Asante Wote Mliokuwa Sehemu Ya Huduma Yangu Na Poleni Wale Mliokosa Huduma Yangu Kwasababu Ya Ratiba Au Vinginevyo.

Sasa Ni 2024 Though Kuna Kazi Nishafanya Na Sikuposti Kwasababu Ya Kuwa Bize Na Kampeni Ya TunaishiNao Lakini Msimu Rasmi Unaanza Sasa Hivo Niwakaribishe Sana Ndugu Zangu Wenye Shughuli Zenu Anzeni Kuweka Oda Mapema Kabisa Ili Usinikose Kwenye Shughuli Yako.

Tayari Nishaanza Kupokea Oda Na Soon Naanza Kuzifanyia Kazi Hivo Nawe K**a Una Shughuli Basi Mapema Niambie Ili Tupange Utaratibu Na Namna Tukio Lako Liwe/Litakuwa.

MHIMU KUJUA: Tukio Lako Ni La Siku Moja Hivo Ni Mhimu Kulifanya Tukio Bora Ili Usijutie Maana Hutakuwa Na Nafasi Ya Kurekebisha Ikiwa Utalikosea Tukio Lako Na Nikushauri Liandae Mapema Usilifanye La Zima Moto.

NB:Usiogope Kuhusu Gharama Za Mc Wa Mkoa Ila Fikiri Juu Ya Ubora Wa Kazi Itakayofanyika Huku Ukijua Kuwa Maskin Jeuri Kwake Kusherehesha Ni Kazi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™.

Namba Zangu Ni 0754409746/0628046675 Au πŸ“₯
Pia Pita Facebook Reels, Instagram,Na TikTok Kuona Kazi Zangu Na K**a Ukishindwa Karibu Nitakutumia Ukiridhika Tutafanya Kazi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™.

UMEENDA ALVIN MPONDA😭😭😭😭😭😭😭😭Mtoto Alvin Mponda Amefariki Dunia Akipatiwa Matibabu Katika Hospitali Ya Taifa Ya MhimbiliM...
09/03/2024

UMEENDA ALVIN MPONDA😭😭😭😭😭😭😭😭

Mtoto Alvin Mponda Amefariki Dunia Akipatiwa Matibabu Katika Hospitali Ya Taifa Ya Mhimbili

Mungu Awabariki Wote Tuliomchangia Mtoto Huyu Mimi Nina Imani Sisi Tulifanya Kwa Nafasi Yetu Mpaka Mtoto Akaenda Hospitali Lakini Mungu Kampenda Zaidi.

UZINDUZI WA KAMPENI YA TUNAISHINAO πŸ”₯πŸ”₯_____________________________________________Leo Tar 27.02.2024 Umefanyika Uzinduzi...
27/02/2024

UZINDUZI WA KAMPENI YA TUNAISHINAO πŸ”₯πŸ”₯
_____________________________________________

Leo Tar 27.02.2024 Umefanyika Uzinduzi Wa Kampeni Ya TunaishiNao Msimu Wa Sita Ambapo Mhitaji Barton Fute Kutoka Kibena Mwenye Tatizo La Kansa Ameweza Kusaidiwa Na Jumla Ya Tsh 4,706,100/=(Milioni Nne Laki Saba Na Elfu Sita Mia Moja) Zimetolewa Kumsaidia Katika Matibabu.

Mbali Na Fedha Mhitaji Huyu Amepatiwa Vitu Mbalimbali K**a Vile Mahindi,Maharage,Unga,Mafuta,Mchele,Sukari Matunda,Mavazi Na Miche Ya Parachichi 100 Kutoka Aldo Green Garden K**a Sehemu Ya Michango ya Wadau.

Asante Kwa Kushiriki Na Karibu Katika Msimu Mpya Wa Kampeni Ya TunaishiNao.

Leo ni siku ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya tunaishi nao na muhitaji wetu wa kwanza Barton Fute tunaenda kumshika mkono ...
27/02/2024

Leo ni siku ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya tunaishi nao na muhitaji wetu wa kwanza Barton Fute tunaenda kumshika mkono pale kibena.

Endelea kutufuatilia kupata taarifa za kwa kile kitachokuwa kinaendelea.

Vile Nimemsikia Mama Yenu Akisema Kikundi Kingine Wanavunja Mwezi Huu Wa Tatu 🀣🀣🀣Weekend Njema JamaniπŸ“Έ By Edinah Patrick...
25/02/2024

Vile Nimemsikia Mama Yenu Akisema Kikundi Kingine Wanavunja Mwezi Huu Wa Tatu 🀣🀣🀣

Weekend Njema Jamani

πŸ“Έ By Edinah Patrick

Maisha Ni Uwekezaji Kwa Sasa Na Jitahidi Ufanye Uwekezaji Utakaokufanya Uendelee Kula Matunda Ya Uwekezaji Wako Kuna Uwe...
12/01/2024

Maisha Ni Uwekezaji Kwa Sasa Na Jitahidi Ufanye Uwekezaji Utakaokufanya Uendelee Kula Matunda Ya Uwekezaji Wako

Kuna Uwekezaji Wa Muda Mfupi Na Wa Muda Mrefu,Hivo Ukiachilia Mbali Uwekezaji Wa Miti Ya Mbao Mimi Nitakuchagulia Huu Wa Parachichi Kwani Ni Uwekezaji Ambao Utaendelea Kuvuna Miaka Yote Na Hukati Mti Na Namna Unaendelea Kuvuna Nao Unaongeza Mazao Pia.

Sasa Jitahidi Kupanda Tunda Bora Siyo Bora Tunda Na Kupata Matunda Bora Huyu Hapa Raymond Kihaka Mtaalamu Wa Hizi Kazi Na Namba Yake Ni Hii Hapa 0755 282 961 Mpigie Uliza Bei Na Inakufikia Popote Ulipo

Jitahidi 2024 Panda Hata 10/20/30/5 Nk Kulingana Na Uwezo Wako.

Asante

Nipo Hapa Kwenye Mapito Yangu Ndani Ya 89.1 Uplands Fm (Wizara Ya Afya)Kumbuka Ni Jumatatu Mpaka AlhamisiMuda Ni Saa 22:...
09/01/2024

Nipo Hapa Kwenye Mapito Yangu Ndani Ya 89.1 Uplands Fm (Wizara Ya Afya)

Kumbuka Ni Jumatatu Mpaka Alhamisi
Muda Ni Saa 22:00 Mpaka Saa 00:00

Simulizi K**a Kawaida Usikose Kunisikiliza Hapa
Zaidi Nambie Unaisikiliza Mapito Yangu Ukiwa Wapi?


Hello Family πŸ‘‹ Mpo Pouwa NyieAsanteni Kwa Wishes Zenu Siku Ya Jana Kwenye Siku Yangu Mhimu Naendelea Kuona Na Kuzidi Kuj...
13/12/2023

Hello Family πŸ‘‹ Mpo Pouwa Nyie

Asanteni Kwa Wishes Zenu Siku Ya Jana Kwenye Siku Yangu Mhimu Naendelea Kuona Na Kuzidi Kujivunia Love Kubwa Kutoka Kwenu Mashabiki Zangu,Ndugu,Jamaa Na Marafiki

Najua Sijawajibu Comments Zenu Kwasababu Ya Ubize Wa Kimajukumu Lakini Natambua Thamani Ya Kila Mmoja πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Mungu Awabariki Sana

Najua Wana Matembwe Mlijiuliza Lile Vibe La Dvj N Mlawa Na Mc Wa Mkoa Lilitoka Wapi?Sasa Niwaambie Ukiachana Na Ubora We...
18/11/2023

Najua Wana Matembwe Mlijiuliza Lile Vibe La Dvj N Mlawa Na Mc Wa Mkoa Lilitoka Wapi?

Sasa Niwaambie Ukiachana Na Ubora Wetu Kazini Basi Kuna Hii Supu Tulopiga Kwa Fransisca Njika Pale Matembwe Social Centre Ilikuwa Supu Fulani Nzito Sana

Basi Ndugu Zangu Ukifika Matembwe Ulizia Njika Food Aise Rafiki Yangu Huyu Ni Nouma Sana Kwa Haya Mambo

Ukifika Ccm Mjimwema Ulizia Kwa Maskini Jeuri Kitimoto Utaoneshwa Tupo Kwenye Car Wash Iliyo Jirani Na Ccm Hapa Na Ukifi...
24/10/2023

Ukifika Ccm Mjimwema Ulizia Kwa Maskini Jeuri Kitimoto Utaoneshwa Tupo Kwenye Car Wash Iliyo Jirani Na Ccm Hapa

Na Ukifika Hagafilo Ulizia Kwa Maskini Jeuri Kitimoto Utaoneshwa Tupo Mbele Ya Jengo La Tinya Bakery πŸ₯―

Soon Tutafungua Ofisi Mpya Itakuwa Wapi Usikae Mbali

Nawapenda Sana Jamaniii

Address

864
Njombe

Telephone

+255754409746

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Maskinijeuri94 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mc Maskinijeuri94:

Share