MWANA KWETU

MWANA KWETU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MWANA KWETU, Arts and entertainment, Njombe.

Chabol 1_5
10/07/2024

Chabol 1_5

31/01/2024

Nyee Leo watu wafupi wanang'aa pale azam

24/12/2023

Kwani mlivyokuwa mnasema chama ni bora. Mlikuwa mnasema chama gani lisije kuwa cha wanawake.πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„

@followersFIHEFU fcuNamungo FcaIbrahim Ajibu 10yMbeya City FansoTabora United FCasCoastalUnionfcnYoung Africans SC updates

Mna uhakika kuwa Huyu Simba Ni dume kweli isije kuwa Ni jike mwenye mimba???...maana nasikia Hadi wanawake wanasema wame...
10/12/2023

Mna uhakika kuwa Huyu Simba Ni dume kweli isije kuwa Ni jike mwenye mimba???...maana nasikia Hadi wanawake wanasema wamekufa kiume sijui.

🚢🚢🚢Any way ayubu alisaidia, Ila onana hakuwasaidia waonane.

Masikini akipata....hulia mbwata🚢🚢🚢🚢Ila lile la pili kwakweli diara mpaka sasa haelewi afanye ili kufikia ule mpira.Na m...
05/10/2023

Masikini akipata....hulia mbwata🚢🚢🚢🚢

Ila lile la pili kwakweli diara mpaka sasa haelewi afanye ili kufikia ule mpira.

Na mkumbuke kuna dasilamu inawasubiri, malipo ni hapa hapa Tanzania. IHEFIHEFU fcIHEFU fc

Bwana kipapai huku leo ameyakanyaga kwa nungunungu. Na bado hajasema..atasema, yaniih mpaka asemeeeh aaah..πŸ˜‚ @@followers...
07/09/2023

Bwana kipapai huku leo ameyakanyaga kwa nungunungu. Na bado hajasema..atasema, yaniih mpaka asemeeeh aaah..πŸ˜‚ @@followersIIHEFU fcfIHEFU fcDDodoma Jiji Football ClubJDodoma Jiji Football ClubFDodoma Jiji Football ClubCDodoma Jiji Football ClubAAzam FCFAzam FCMMtibwa sugar SCsMtibwa sugar SCSMtibwa sugar SCSSingida Fountain Gate FcFSingida Fountain Gate FcGSingida Fountain Gate FcFSingida Fountain Gate FcMMbeya City FansCMbeya City FansFMbeya City FansMMBEYA City Council FCCMBEYA City Council FCCMBEYA City Council FCFMBEYA City Council FCPPrince Kalonga storyKPrince Kalonga storysPrince Kalonga storyRRuvu Shooting FcSRuvu Shooting FcFRuvu Shooting FcMMashujaa FCFMashujaa FCYYoung Africans SC updatesAYoung Africans SC updatesSYoung Africans SC updatesuYoung Africans SC updatesSSimba SC TanzaniaSSimba SC TanzaniaTSimba SC TanzaniaSSingida Fountain Gate FcFSingida Fountain Gate FcGSingida Fountain Gate FcFSingida Fountain Gate FcCCoastalUnionfcNNamungo FcFNamungo Fc@

Yani kuna kuna kitu hakipo sawa kbsaaaa! yaani wanafungwa JKT anajiuzulu kocha wa SINGIDAπŸ€”
04/09/2023

Yani kuna kuna kitu hakipo sawa kbsaaaa! yaani wanafungwa JKT anajiuzulu kocha wa SINGIDAπŸ€”

31/08/2023

Kumbe mlichopatia msimu huu ni jezi tu. Hakuna team apo, kesho asubuhi wote shambani kuvuna 🌻 na adhabu yenu mchuje mafuta na mikono.
SSingida Fountain Gate FcFSingida Fountain Gate FcGSingida Fountain Gate FcFSingida Fountain Gate Fc

30/08/2023

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hili neno la quality prayer litaisha tukisha enda kwenye viwanja vya mikoani ambavyo mpira unaweka juu ya kichuguu ndiyo upige faulo.

NAWAANGALIA TU APAπŸ™„πŸ™„πŸ™„
sugar SC Mtibwa sugar SCEMtibwa sugar SC IHEFU fcdIHEFU fcaDodoma Jiji Football ClubFDodoma Jiji Football ClubaDodoma Jiji Football Club@Dodoma Jiji Football Club

30/08/2023

"Bora Hata YANGA Ya Nabi Ulikuwa Ukimkaba Mayele Umemaliza,.... Ila Hii Ya Gomond Hujui Umkabe Nani! Ukikaa Vibaya Hadi Diala Anakufunga "

ilisikika Sauti Ya Gongowazi Baada Ya Kuamka 😁

28/08/2023

Wajelajela ndiyo kusema kwasababu 🌻 hazikuwa tamu, mbona kwenye 🍨 mambo yamekuwa mterezo????

Kitendawiliii.........Wanakimbiza walemavu na wakiwakamata wanashangilia?πŸ’πŸ’πŸ’Ok natania hivi huyu Max mnamuona kweli, na ...
20/08/2023

Kitendawiliii.........

Wanakimbiza walemavu na wakiwakamata wanashangilia?

πŸ’πŸ’πŸ’

Ok natania hivi huyu Max mnamuona kweli, na msondo nakwambia tena kufunga midomo ya wenzako mbinguni ni mbali.

Address

Njombe

Telephone

+255763238893

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MWANA KWETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share