02/10/2022
Legends are born in october
SIKU K**A YA LEO: Miaka 56 iliyopita alizaliwa mshindi pekee wa Ballon d'or kutoka bara la Afrika.
George Weah alizaliwa Oktoba 1, 1966 huko Monrovia, Liberia.
Licha ya mafanikio yake k**a Mwanasoka, Weah alijitosa kwenye Siasa na sasa ni Rais wa Liberia.
KHERI YA SIKU YA KUZALIWA KWAKE