24/09/2022
True love saturday presents*I loved and i got betrayed*nilipenda na nikasalitiwa
Nilifanya urafiki na watu na nikasalitiwa,,kila nilichofanya kwenye maisha yangu sijawahi kufanikiwa iwe kwenye mahusiano au kwenye kazi nikamuuliza Mungu kwanini mimi tu? Kwanini utume watu wanaoishi kwa muda tu ndani ya maisha yangu,? Na nimekua mchango asilimia mia moja ni kwanini nafeli?
Unajua Mungu akajibu nini , akasema watu wote wale waliopita walikuja na kuondoka ili kunifundisha kujua thamani ya yule ambae atakaa milele ,, tunajuaa thamani ya ushindi baada ya kushindwa na kuusu marafiki muda utakuonyesha marafiki wa kweli na marafiki wasio wa kweli jinsi na kadri unavyopoteza watu ndivyo unavyoijuaa dunia ...usifurahie uzuni wa kupoteza watu ,, watu watakuja na kuondoka na utajifunza kila mwisho endelea kujiheshimu na kujipenda wewe kwanza
Brought to you by God's gift❤❤❤