Mkeyembi kapwani

Mkeyembi kapwani kula ni kula,
tatizo kukomba mboga

10/03/2026
10/03/2026
10/03/2026
10/03/2026
24/10/2025

Urafiki na Unafiki vinatofautia na herufi moja tu.
Duniani tunaishi navyo vitu hivi.
ukipata unapendwa'ukikosa unatengwa
urafiki na unafiki huo

24/10/2025

Wale mnaotaka kunipa hela ili nikampigie kura mtu wenu
ambaye hamtaki kuniambia
jina lake.
ok tumeni basi kabla ya j4
ili nijpange'mkichelewa nitaghaili mine oohhhhhh

24/10/2025

Huyu anatupima akili au?

20/10/2025

tabora hamjambo??

19/10/2025

mlo ni mlo

hawa jamaa leo nimewala hadi wakanichukiza.kanoni' rwami 'migera' Kibeta' kanshundo' hata kwangu rwamulumba; duuhhhwengi...
19/10/2025

hawa jamaa leo nimewala hadi wakanichukiza.
kanoni' rwami 'migera' Kibeta' kanshundo' hata kwangu rwamulumba; duuhhh
wengine nimewabeba nasepa nao bongo

Address

Mwanza
120

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkeyembi kapwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mkeyembi kapwani:

Share