Hadithi

Hadithi Njoo usuuze nafsi yako kwa kusoma simulizi murua, zilizojaa Mikasa ya kusisimua mapenzi, siasa, uhalifu, uchawi na Mikasa mingine ya kutisha huku ukiburudika.

Njoo ukutane na wahusika waliosukwa wakasukika. Ni Emmanuel Venance. Gwiji amerejea.

With Mbaraq Eriq – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
18/01/2026

With Mbaraq Eriq – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

MAMA ANAMSALITI BABAHabari za usiku huu kaka? Nakuja mbele ya group lako kuomba ushauri.Nimegundua mama yangu si mtu mwe...
13/01/2026

MAMA ANAMSALITI BABA

Habari za usiku huu kaka? Nakuja mbele ya group lako kuomba ushauri.

Nimegundua mama yangu si mtu mwema kwa baba yangu. Nilikuwa nampenda sana mama yangu, nilimuamini na kumheshimu sana, lakini kinyume na matarajio yangu mama si mtu mwaminifu kabisa ameniangusha na kuiumiza nafsi yangu.

Mama aliaga amesafiri kikazi kwenda Morogoro kwa wiki moja. Alituacha na baba. Siku iliyofuata niligundua kuwa mama anamsaliti baba yangu tena na mfanyakazi wake.

Niligundua hili baada ya kuwa nimetoka na rafiki zangu kwenda kwenye mghahawa mmoja maarufu wa chakula mbali kidogo na tunapoishi ndipo nilipowakuta, mama akiwa na kajana mmoja niliyemtambua k**a mfanyakazi wake pale ofisini, wakila na kunywa kwa mahaba.

Ile Hali ilinikasirisha sana, binafsi nilijua mama kasafiri inakuwaje yuko ndani ya mji huu tena akivinjari na kivulana vidogo? Kifupi nilighadhabika mno.

Niliondoka eneo lile haraka na kuwaacha. Nilifika nyumbani nikiwa na maumivu makali, hata baba aliporudi jioni kutoka kwenye majukumu yake nilijizuia nisimwambie maana nilijua maumivu yake iwapo atapata habari hizi.

Siku tano zenye uchungu na hasira ya kutunza Siri iliyoniumiza hatimaye mama anarejea akijifanya katoka safari na mibegi yake akijichekesha k**a mwenda_wazimu Kwa unafiki anamkumbatia baba na kumwambia kamumiss sana. Nilitamani kutapika.

Binafsi nashindwa kukaa na hili swala moyoni ila najua nikimwambia baba hizi habari yatatokea haya, moja ndoa itakuwa imekwisha maana baba yangu namjua vyema. Pili Sina hakika na usalama wa hawa wawili mama na huyo ki Ben 10 wake. Sasa nishaurini lipi bora nikae na huu mzigo rohoni au nimfikishe baba yangu? Nasoma ushauri wapendwa.




Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Taus Sued Juma, Ma Abdul, Jacob Salasu, Raphael Michael N...
10/01/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Taus Sued Juma, Ma Abdul, Jacob Salasu, Raphael Michael Nusuhela, Mapinduzi Lunyungu, Julius Mlay, Joyce Mbunza, Evod Rabo, Jamila Fadhil Jamila, Patrisia Creopatra, Mwanaidi M***a, Leticia Gervas, Ishah Salum, Happy Daud, Sabitina Khamis, Pauleth Saileni, Mjelwa Jackson, Rose Adam, Sancho Amour, Annastasia Maingi, Mbaraq Eriq, Veelaw Paul, Mary Hassan, Bint Juma, Raphael Redempitius, Rachel Rashid, Shaban Wagara, Sheila Nyamalila, Noel Mhami, James Mhagama, Renalda Kirway, Rose William Makungu, Yusuph Faustino, Leah A Kizanye, James Alex, Nyash Erick Mlachake, Salome Emanuel, Devotha Thomas, Chripha Kusimba, Asid Myombe, Willium Samo, Rama Botswe, Jumaa Issa, Joseph Thoyaa, Christine Walubengo, Mamu Kassim, Emmanuel Fungamalie, Cureen Cureen, Hamsallah Sallah, Onesmas Mitau

06/01/2026

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA!

03/01/2026

Benah Benah

HATAKI MWANAMKE MWENYE MTOTOHabri za mwaka mpya! Kaka nimekuja ukurasani kwako kuomba ushauri.Ninamahusiano na jamaa mmo...
02/01/2026

HATAKI MWANAMKE MWENYE MTOTO

Habri za mwaka mpya! Kaka nimekuja ukurasani kwako kuomba ushauri.

Ninamahusiano na jamaa mmoja. Tunapendana sana. Anajitoa, anajali na nimkarimu kwangu.

Changamoto inayonileta kwako kuomba ushauri ni kwamba, hapendi kabisa mwanamke aliyezaa. Amekuwa akilirudia hili mara Kwa mara kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanake mwenye mtoto.

Haogopi kuweka chuki zake wazi juu ya wanawake wenye watoto ambao hawajaolewa. Anawasema vibaya na unaona dhahiri kuwa hawezi kuishi na mwanamke mwenye mtoto.

Tangu tumefahamiana nimejitahidi sana kuficha kuwa Nina mtoto mkubwa tu niliyempata mapema zaidi tena kipindi Cha balehe.

Nina muhitaji sana huyu jamaa awe mume wangu. Ila siwezi kuendelea kuficha Siri juu ya Binti yangu maana huenda ikanigharimu baadae.

Nisaidieni ushauri nifanyeje ili nisimpoteze mchumba wangu na Binti yangu atambulike bila kificho.

31/12/2025

I got over 3,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

30/12/2025
Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! πŸŽ‰ Str, Suzana Laizer, Suzy Vance, Zurieth ...
30/12/2025

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! πŸŽ‰ Str, Suzana Laizer, Suzy Vance, Zurieth Bashir, Timotheo Augustine, Aneth Fredrick, Mercy Kilungu, Salumu Sadock, Veni Ibrahim, Furaha Ramadhan, Joan Daniel, Emanuela Rogathe, Siwa Katundu, Theresia Lusanika, Mai Uhinga, Jennifer Samwel, Eliza Nziza, Joha Chata, Mary Mabawa, Medy Mohd-Az, Isher Rajabu, Naim Naim, Happy Albert, Imakulata Ndauka, Regina Ibrahim, Unique Qwinnie, Nipher Luchingo, Dgb Imhotep, Mwana Chakwana, Magret Nyanda, Nasra Nasri, Mwantumu Mwinyihaji, Hosana L George, Benah Benah, Ester Buyonga, Amayra Philbert, Esther Joram, Johnathan Ester, Loveness Christopher, Rehema Rajabu, John Shirima, Farida Acrey, Felistel Joseph, Anton Baladiga, Agripina Njowero, Rosemary Tresphory, Salma Simba Mkude, Oliver Chriss, Asha Sika, Vidda Hellenaomi

Address

IGOMA, MWANZA
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hadithi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Hadithi:

Shortcuts

Share