Rajabu Salimu Abdul-razaq

Rajabu Salimu Abdul-razaq Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rajabu Salimu Abdul-razaq, Art, Muheza.

Kutoka kwa Mwandishi,Kitabu Cha Huba na Safari ya Pepo nakala zake zote zimeisha.Sasa jiandaeni kwa kitabu kingine kizur...
30/06/2023

Kutoka kwa Mwandishi,

Kitabu Cha Huba na Safari ya Pepo nakala zake zote zimeisha.

Sasa jiandaeni kwa kitabu kingine kizuri sana.

Hongera Ayla George.

03/09/2022

SMAUJATA MUHEZA YANOGA

Viongozi wa SMAUJATA katika wilaya ya Muheza mkoani Tanga, 02/09/2022 walikaa kikao cha kimkakati cha kujadili mpangokazi wa SMAUJATA MUHEZA.

Katika kikao hicho wameadhimia kuanza kutoa elimu dhidi ya ukatili kwa kuanza na Kata za Kwemkabala, Majengo, Magila, Ngomeni na Lusanga.

05/08/2018

Paka kawa Chui.
*****************
nianze wapi kughani, hadithi kusimulia
paka wetu wa chumbani, mboga ametumeagia
hivi sasa twamlani, kumfuga twajutia
paka sasa kawa chui, mbali tutamkalia.

Tulimnywesha maziwa, mpaka kajishibia
ila leo tunanyewa, paka mshenzi tabia
paka ipo yake dawa, tibaye yakaribia
paka sasa kawa chui, mbali tunamkalia.

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ”­πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Address

Muheza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rajabu Salimu Abdul-razaq posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category