18/03/2020
GIVEN
SEHEMU YA SITA
MWANDISHI MUNDE
Ilipoishia tulimuona kisamvu akimshangaa Sirgent kuludia shule tena jion duh. Ile ilimshangaza sana na kumjazia maswali mengi sana yasiyo na majibu kichwani
Yani uyu kuna nini leo uko shulen? Mpila ama maigizo? Mbona ajabeba zifaa vyake badala yake kabeba kaunta book tena la mathe dah jaman aya maajabu Sirgent na mathe tena jion duh i kali acha tuone. Kisamvu alikua anajisemea mwenyewe.
×××¶×¶¶¶¶¶¶¶¶¶×¶××××××××××××Given mwanangu jua shulen umeenda kusoma sio mengine mwanangu, ujaenda kubatobato na vijivulana ata walimu pia mwanangu
Najua utashangaa kuwajumuisha walimu mana kuna vijiwalimu havijielewi k**a nyie watoto wao na ivyo ulivyo mwanangu mhhhhh
Mama Given alizidi kumpa mausia kuntu mwanae
Tena eti oh Given nakupenda mwambie mie nasoma tena k**a unanipenda nisubili nimalize masomo yangu akafu fuata talatibu zetu za kiafrika tana Kitanzania inajulikana sawa.
Sawa Mama lake Mrs Adamu we mi nawai shule mamyyyyy
Ukizingatie nilichokwambia mama alikazia .sawa mama nimekuelewa acha niwai leo mathe sir Monge atanichapa ningechelewa kwani anafundisha kwa upendo tu alafu tuchelewe tena Given akavuta beg yake na kukimbia kwenda shule k**a unavyojua ukiwa mwanafunzi mbio kwako k**a duma tu polini
Basi akiwa njiani mawazo yakampeleka mbali si kikawaida kutokana na maneno ya mama yake akajikuta anaongea peka take Sirgent nakupenda sana Mme WANGU ila naomba tusifanye kwanza adi tumalize shule pia adi Tulane Mme WANGU ila nihaidi Hugo kuwa na mpenze yoyote gent WANGU OK nimekuelewa wngu ndatumia mda WANGU mwingi kufanya kazi na mazoez Ili ni avoid hisia za kufanya s*x my nakupenda kweli na nitasubili
Tukumbuke apo given alikuwa balabalan akielekea shule na ago mawazo yake tu watu walimshanga sana kwani alikuwa na bonge LA fulaha
Uyu Mtoto VP Leo mbona kafulahi sana Leo uko shuleni wananokoa machungwa nini?
Alisikika mama mmoja aliyekua anamfaham vizuli given kutokana alikua mpishi pale shulen
Tukutne prt 7