Gady de boy media

Gady de boy media hii ni page inayokupa habari za wasanii na michezo toka ndani na nje ya nchi

all the way from    and this is  "ivi unajua kuwa jonjooh yule wa    kwa sasa ndie new presenter wa  ? "uskose kufuatili...
19/09/2018

all the way from
and this is
"ivi unajua kuwa jonjooh yule wa kwa sasa ndie new presenter wa ? "

uskose kufuatilia from

 : Ukiangalia katika Bio za Wasanii waliosainiwa ndani ya Lebo ya  wamejitambulisha katika Bio zao kuwa wapo chini ya Uo...
22/07/2018

: Ukiangalia katika Bio za Wasanii waliosainiwa ndani ya Lebo ya wamejitambulisha katika Bio zao kuwa wapo chini ya Uongozi huo.

Hii ipo tofauti kwa ambaye ameondoa kiashiria cha yeye kuwa chini ya Lebo hiyo tofauti na Wasanii wengine k**a Lavalava Queen Darlin Rayvanny na Harmonize ukiangalia kwenye bio zao.

Lakini pia alikua ni miongoni mwa Watu ambao Mavoko amewafollow ila kwa sasa jina la Diamond halipo katika orodha ya Watu hao.

Viashiria hivi vinathibitisha tetesi za kuwa Mavoko hayupo tena

by

wasafi festival yaanza karibuni : Eti "Bora Wali Tembele, Kuliko WaliMwengu"  Huu Msemo Umeutoa Wapi?😀... Wadau Wapamban...
21/07/2018

wasafi festival yaanza karibuni
: Eti "Bora Wali Tembele, Kuliko WaliMwengu" Huu Msemo Umeutoa Wapi?😀... Wadau Wapambanaji wenu Leo Tumemaliza Jambo Jema La WASAFI FESTIVAL YA HAPO MJINI DAR!!! Sjui Niseme...🤔😪 &SEE 🔥🔥🔥



by Gady DGady Dé BøýýGady Dé BøýGady Dé Bøý

 : Klabu ya Juventus imeuza Tiketi zake zote za Msimu ujao 2018/2019(SOLD OUT) kufuatia kitendo cha Ronaldo kujiunga na ...
20/07/2018

: Klabu ya Juventus imeuza Tiketi zake zote za Msimu ujao 2018/2019(SOLD OUT) kufuatia kitendo cha Ronaldo kujiunga na Klabu hiyo akitokea Real Madrid.

Licha ya Klabu hiyo kupandisha bei ya Tiketi kitendo ambacho kiliwakasirisha Mashabiki kabla ya Ronaldo kutua Klabuni hapo, huenda kilipozwa baada ya Nyota huyo kutoa Ureno kujiunga na Mabingwa hao wa Serie A.

Mpaka sasa Ronaldo tayari ameanza kuinufaisha Juve kabla hata hajaanza kuicheza Klabu hiyo.


by Gady Dé Bøý

BREAKING NEWS : Imeripotiwa kuwa uongozi wa Coastal Union upo mbioni kumtambulisha Alikiba kuwa mchezaji wao tayari kwa ...
20/07/2018

BREAKING NEWS : Imeripotiwa kuwa uongozi wa Coastal Union upo mbioni kumtambulisha Alikiba kuwa mchezaji wao tayari kwa msimu ujao.
Inasemekana tayari Alikiba ameshafanya makubaliano na uongozi huo na muda wowote kutoka sasa watamtangaza .
TOA MAONI YAKO HAPA


by Gady Dé Bøý

Shirika la Amnesty International limetoa wito wa kubatilisha hukumu ya kifo aliyopewa Malkia wa urembo gerezani nchini K...
20/07/2018

Shirika la Amnesty International limetoa wito wa kubatilisha hukumu ya kifo aliyopewa Malkia wa urembo gerezani nchini Kenya Ruth Kamande baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mpenzi wake kwa madai kwamba anatakiwa asaidiwe kujirekebisha na sio kuhukumiwa kifo.

by Gady Dé Bøý

           tumeanza rasmi kupost          CATCH ALL IN GADY DE BOY MEDIA
20/07/2018


tumeanza rasmi kupost




CATCH ALL IN GADY DE BOY MEDIA

Address

Station Road
Moshi
00255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gady de boy media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category