Mwalimu MUSIC Library

Mwalimu MUSIC Library Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwalimu MUSIC Library, Arts and entertainment, KILIMANJARO, Moshi.

04/06/2022

Kwa wadau wa Mwalimu Music and Muvies Library,sasa tumewafikia wakaI wa Kawawa Road,Ofisi yetu ipo mkabala na Sheli ya Zamani,Karibu ujipatie mzigo wa uhakika

04/02/2017

Mzigo mpya!mzigo mpya!mzigo mpya!Jipatie Muendelezo Wa sizon ya Udaan sizon Two,Lady in the sword,na nyingine kibaaaao!pia Flash Original,kadi za Valentine,Eaphone,Mp3 iPods,na Muvie Kali za Ma Dj wa Arusha chini ya Dj Murphy,Omy D Spensa Dj na Dj,Aly D.

Karibuni wakazi Wa Rau,Uru.

Pia wakazi Wa Uru Timbirini tunawasogezea huduma karibu Soon.

Pia karibu Mwalimu Medics kwa huduma za dawa Muhimu za binadamu na Huduma ya Kusajili Line,M Pesa na Tigo Pesa.

Barber Shop ya Ukweli "Mwalimu Barbershop"Soon itafunguliwa ndani ya Uru Timbirini.

Usikubali kupitwa kuhudumiwa na Wahudumy walioenda Shule na wanaojua thamani ya Mteja ndani ya Mwalimu Music Library Ray,Mwalimu Medics Uru Timbirini na Mwalimu Barbershop!

Uongozi Wa Mwalimu Music Library unapenda kuwapongeza Mr.&Mrs Daniel Mjema kwa kutimiza miaka...ya ndoa yenu,Mungu azidi...
21/10/2016

Uongozi Wa Mwalimu Music Library unapenda kuwapongeza Mr.&Mrs Daniel Mjema kwa kutimiza miaka...ya ndoa yenu,Mungu azidi kuwalinda

14/09/2016

Eeeee Mungu Uketiye Mahali palikotukuka,wewe wajua ni kwa nini ninapitia haya,wewe wanijua tangu ningali tumboni mwa mama yangu,ninakusihi na kukuomba Mungu wangu unibariki...

EEEwe Mfalme wa wafalme,wewe ndiye unayegawa riziki na ndiye unayepanga ratiba ni nani aendelee kupumua na nani apate kibali cha kuja kwako,ninakuomba uniondolee kikombe hiki ili nisitende Dhambi,wanijua na wajua yote ninayoyapitia na wewe ndiye mwenye kibali cha kuwaangusha wote wanaoniandama kwa kuwa ni mawakala wa yule Muovu shetani...

Ninaamini wewe Mungu unaniskia kila iitwapo leo na ninakuomba ukutane na hitaji langu juu ya wote wanaoyasababisha ili familiya yangu iteseke.

Hangaika nao wanaohangaika ili niaibike,waaibishe wanaotaka niaibike,hakika nitazidi kulitaja jina lako,Onyesha Mkono wako Mungu wangu KATIKA Biashara zangu,Kazi zangu,Marafiki zangu na hata Maadui zangu ili wayaone Mafanikio yangu!!!
if you like this coment and like my page(Mwalimu Music Library)

13/09/2016

Habari wapendwa wetu!Mwalimu Music Library inapenda kukutaarifu kuwa Mzigo mpya umeingia,Ear Phones,Mp3 audio players,birthday cards,card reader,flash 8GB na 16GB original zinapatikana,wahi ujipatie mzigo wako,usikubali kupitwa,njoo uhudumie na wahudumu waliobobea katika fani ya utoaji huduma!

12/09/2016

Uongozi na Wafanyakazi Wa Mwalimu Music Library na JPM Medics wanawatakia Eid Njema na kuwa karibisha ktk duka lao la CD lililopo Rau Madukani barabara ya Kwenda Uru Mawela mita chache kutoka Rau Stand ujipatie CD mpya sizon na za Kibongo mpya za mwezi august!usikubali kuhadithiwa!

11/09/2016

Mwalimu music library inawapenda sana wateja wetu,msiache kututembelea na kujionea vitu vipya!

Happy birthday mkurugenzi Wa Mwalimu Music library na JPM Medics
03/09/2016

Happy birthday mkurugenzi Wa Mwalimu Music library na JPM Medics

02/08/2016

Helow wadau wa Mwalimu Music Library,karibuni sana mjipatie vitu mbalimbali kama chaja za smart phone OG,USB cable,Muvie za kibongo zenye ubora wa hali ya juu,sizoni mpya na zilizoenda shule pamoja na Memory Card na Flash original,pia tunatoa punguzo maalumu kwa wateja wetu wapya!!karibuni sana!!
Kwa Mwezi Julai Muvi ya kibongo iliyoteka soko ji Jamila na Pete ya Ajabu na kwa sizoni ni Naagin!!

Address

KILIMANJARO
Moshi
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu MUSIC Library posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share