Ahmad Machaku

Ahmad Machaku Hapaa unakutana na taarifa zinazinihusu na kuwahusu wengine, za kijamii, mada nk

Week end imeingia ,  Furaha yako ipo kwetu. Njoo .icecream.parlour tukupatie Ice cream Bora na tamu  na ufurahie week en...
04/09/2026

Week end imeingia , Furaha yako ipo kwetu.
Njoo .icecream.parlour tukupatie Ice cream Bora na tamu na ufurahie week end

Si unajua kwamba .icecream.parlour wakali wa Ice cream Moro town wapo Kwa ajili yako.

Njoo Sasa, Mlete mwanao afurahie weekend yake huku tukikupatie kilicho Bora zaidi ya ladha itayokufanya wewe na Familia yako mjiskie fresh na vibe ndani ya weekend hii.

Ni sisi .icecream.parlour
Njoo Leo tunakupa sababu ya kuianza weekend Bora kabisa.

πŸ“ Tupo Boma Road Morogoro, Mbele ya KCB
⏰ Tupo Wazi Alhamisi - Jumaanne:
Kuanzia Saa 7 mchana – Saa 5 usiku
πŸ“ž 0658929299
Sunday

Mzigo wa Viatu vya  watoto upo ndani ya duka letu la Tee  Morogoro Mlete mtoto wako apendeze nasi sasa Tupo Morogoro bar...
30/08/2026

Mzigo wa Viatu vya watoto upo ndani ya duka letu la Tee Morogoro
Mlete mtoto wako apendeze nasi sasa

Tupo Morogoro barabara ya Uhuru katika jengo la Mangesho . Siyo mbali kutoka NMB Bank tawi la WAMI au soko la Chifu Kingaru

Tupigie Sasa : 0743-748-878
Tu follow Instagram Tee

Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako Madam Hajra Abdallah  Mwenyekiti wa β„™.𝔼.𝔸.β„‚.𝔼 - 𝔽.𝔸.𝕄.𝕀.𝕃.𝕐 .  Tunakutakia maisha m...
29/08/2026

Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako Madam Hajra Abdallah Mwenyekiti wa β„™.𝔼.𝔸.β„‚.𝔼 - 𝔽.𝔸.𝕄.𝕀.𝕃.𝕐 .

Tunakutakia maisha marefu yenye heri na baraka tele . Happy Birthday to you Mpambanaji

NAFASI YA KAZI – ADMINISTRATIONTunatafuta Msichana/Mwanamke mwenye uwezo na bidii kwa nafasi ya Administration.Sifa zina...
27/08/2026

NAFASI YA KAZI – ADMINISTRATION

Tunatafuta Msichana/Mwanamke mwenye uwezo na bidii kwa nafasi ya Administration.

Sifa zinazohitajika:

- Awe anajua kutumia Computer vizuri.
- Awe na ujuzi wa Microsoft Office (Word, Excel
- Awe na uwezo wa kufanya kazi za ofisini na kutunza kumbukumbu.
- Awe mchapakazi, mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejifunza haraka.
- Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na watu.
- Mahala pa kazi Morogoro

Mawasiliano: 0713559985

Week end sasa si ndiyo hii!! Njoo Sweet Treats - Ice Cream Parlour tukupatie Ice cream Bora na tamu . Si unajua kwamba S...
22/08/2026

Week end sasa si ndiyo hii!!
Njoo Sweet Treats - Ice Cream Parlour tukupatie Ice cream Bora na tamu .

Si unajua kwamba Sweet Treats - Ice Cream Parlour wakali wa Ice cream Moro town.

Tunakuletea weekend special huku ukijipatia Icecream fresh kutoka hapa Sweet Treats - Ice Cream Parlour
Njoo Sasa, Mlete mwanao afurahie weekend yake huku tukikupatie kilicho Bora zaidi ya ladha itayokufanya wewe na Familia yako mjiskie fresh na vibe ndani ya weekend hii.

Ni sisi Sweet Treats - Ice Cream Parlour
Njoo Leo tuanze weekend pamoja

πŸ“ Tupo Boma Road Morogoro, Mbele ya KCB
⏰ Tupo Wazi Alhamisi - Jumaanne:
Kuanzia Saa 7 mchana – Saa 5 usiku
πŸ“ž 0658929299
Sunday

SEMUKA INTERNATIONAL LT WACHANGIA VIFAA VYA ELIMU KATIKA TAMSHA LA KIZIMKAZI FISTIVAL 2026   LINALOENDELEA ZANZIBARKampu...
13/08/2026

SEMUKA INTERNATIONAL LT WACHANGIA VIFAA VYA ELIMU KATIKA TAMSHA LA KIZIMKAZI FISTIVAL 2026 LINALOENDELEA ZANZIBAR

Kampuni ya kuchapisha vitabu mashulen tanzania bara na zanzibar ya (Semuka international ltd)
Wamechangia Vitabu na madaftari Kwa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation Kwa lengo la kusapoti ukuaji wa Elimu Bora Kwa wanafunzi Zanzibar .

Akichangia Vitabu na Madaftari hayo katika Tamashan la Kizimkazi Festival Mkurugenzi wa Masoko wa Semuka International Ltd ndugu Walii Hassan Miyonga kwa niaba ya Mkurugenzi mkuu ndugu Erick .R. Katabaro , amesema lengo kubwa la kampuni hiyo ni kusapoti katika maswala ya Elimu nchini na kupunguza changamoto zinazowakabili wanafunzi mashuleni.

Mchango huwo umepokelewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation
ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Wanu Khafidh Ameir WANU AMEIR KHAFIDHI mbele ya Mgeni rasimi Mhe. kwagilwa ruben Naibu Waziri wa Muungano n Mazingira

Semuka international ltd ni kampuni inayofanya kazi zote ict equipment maofisini, kusambaza furniture za maofisini na pia ni wamiliki wa kampuni za usafirishaji .

Mzigo wa Viatu vya  watoto upo ndani ya duka letu la Tee .Mlete mtoto wako apendeze nasi sasaTupo Morogoro barabara ya U...
07/08/2026

Mzigo wa Viatu vya watoto upo ndani ya duka letu la Tee .
Mlete mtoto wako apendeze nasi sasa

Tupo Morogoro barabara ya Uhuru katika jengo la Mangesho

Tupigie Sasa : 0743-748-878
Tu follow Instagram Tee

Mzigo wa Viatu vya  watoto upo ndani ya duka letu la  .Mlete mtoto wako apendeze nasi sasaTupo Morogoro barabara ya Uhur...
07/08/2026

Mzigo wa Viatu vya watoto upo ndani ya duka letu la .
Mlete mtoto wako apendeze nasi sasa

Tupo Morogoro barabara ya Uhuru katika jengo la Mangesho

Tupigie Sasa : 0743-748-878
Tu follow Instagram

Baada ya hamu na kiu, uchu na usongo wa kukamiana Kwa muda mrefu, Sasa ni     .  yeeeeΓ©sss ! ni Ngumi jiwe kweli. Ndani ...
07/08/2026

Baada ya hamu na kiu, uchu na usongo wa kukamiana Kwa muda mrefu, Sasa ni . yeeeeΓ©sss ! ni Ngumi jiwe kweli.

Ndani ya Moro town wanakuletea Bonge ya Fight haijawahi kutokea , hii ni mara ya kwanza kukutanisha miamba yote ya ngumi ndani ya Ring moja. Ndiyo maana tunasema .

26 August 2026 Tukutane Mtawala pale Moro soccer pitch.
Sponsors mnakaribishwa

✨ UTAMU UJIRAMBEEE MPAKA BASI! 🍰😍Je, unatafuta keki yenye ubora wa hali ya juu, ladha ya kipekee na muonekano wa kuvutia...
06/08/2026

✨ UTAMU UJIRAMBEEE MPAKA BASI! 🍰😍

Je, unatafuta keki yenye ubora wa hali ya juu, ladha ya kipekee na muonekano wa kuvutia?
πŸŽ‚ Jibu ni moja tu: Qyunyu Morogoro!

Pata keki bora inayokupa thamani halisi ya fedha zako kwa kila tukio muhimu.
πŸŽ‰ Tunatengeneza: πŸ’ Keki za Harusi
πŸŽ‚ Keki za Birthday
πŸ™ Keki za Ubarikio
πŸŽ“ Keki za Mahafali
🎁 Keki za Zawadi Maalum
πŸ₯³ Na keki za matukio yote mbalimbali.

πŸ“ Tunapatikana Kilakala, Morogoro Mjini.
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0782 865 050
πŸ“² Tufuatilie Instagram: Qyunyu

πŸ’– Qyu Delights – Tunabadili kila tukio kuwa kumbukumbu tamu na muhimu

β™₯️ BirthdayCake GraduationCake FreshlyBaked

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahmad Machaku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Ahmad Machaku:

Shortcuts

Share