Rejic Technovaz Limited

Rejic Technovaz Limited Rejic Technovaz Limted is the professional company based in Morogoro, Tanzania that serves entreprene

Karibu Elmajor Creations tuna design na kuinstall Mabango
29/04/2026

Karibu Elmajor Creations tuna design na kuinstall Mabango

Karibu Elmajor
25/04/2026

Karibu Elmajor

09/04/2026

Mambo ni Moto😊, nimekuwa wa mwisho kutoka ofisini nikaona nijaribu mambo yenu wakuu😊

08/04/2026

Mambo ni mazito 😂, lakini tunajaribu, nimekuwa wa mwisho kubaki so nikaamua nijaribu kurecord video😂

Karibuni sana tunaprint Tshirts za Aina zote. Kana una Event yako na unahitaji Tshirts karibu sana.
28/03/2026

Karibuni sana tunaprint Tshirts za Aina zote. Kana una Event yako na unahitaji Tshirts karibu sana.

Angalia Portifolio ya kazi zetu. K**a unahitaji huduma yetu yoyote karibu sana.
24/03/2026

Angalia Portifolio ya kazi zetu. K**a unahitaji huduma yetu yoyote karibu sana.

They look very impressive, Design ya Tshirt iko kali, printing ya Tshirt imenyooka haina mawaa😊Karibu kwetu tukupe ubora...
22/01/2026

They look very impressive, Design ya Tshirt iko kali, printing ya Tshirt imenyooka haina mawaa😊

Karibu kwetu tukupe ubora.

Karibu sana Ndugu wateja, tunaprint Tshirt kwa bei nzuri tena kwa mfumo wa kisasa, kinachotengenezwa kwenye computer na ...
20/01/2026

Karibu sana Ndugu wateja, tunaprint Tshirt kwa bei nzuri tena kwa mfumo wa kisasa, kinachotengenezwa kwenye computer na unachokitaka ndicho kinatokea kwenye Tshirt yako.

Tuna design, chapa za kuchapisha kwenye Tshirt zenye ubora za kisasa.

Karibu sana Elmajor kwaajili ya Tshirt PRINTING, printing nzuri ilionyooka kabsa.Kwa huduma hii wasiliana nasi kupitia n...
04/09/2025

Karibu sana Elmajor kwaajili ya Tshirt PRINTING, printing nzuri ilionyooka kabsa.

Kwa huduma hii wasiliana nasi kupitia namba +255 766 317 761

✨ Kitabu chako kina thamani kubwa, na Kitu cha kwanza ambayo msomaji anaiona ni Cover ya kitabu.Tunatengeneza/Design Boo...
23/08/2025

✨ Kitabu chako kina thamani kubwa, na Kitu cha kwanza ambayo msomaji anaiona ni Cover ya kitabu.
Tunatengeneza/Design Book Cover za kipekee na huduma ya Printing yenye ubora wa hali ya juu ili kazi yako ibaki na mvuto wa kitaalamu. 📚✨

👉 Ukiwa na wazo, sisi tunaleta taswira kamili!

Askofu Mkuu wa Makanisa ya CAG Mtume Dunstan Maboya akizindua kitabu cha "Thoughts and Ways" (MAWAZO NA NJIA) kilicho an...
08/08/2025

Askofu Mkuu wa Makanisa ya CAG Mtume Dunstan Maboya akizindua kitabu cha "Thoughts and Ways" (MAWAZO NA NJIA) kilicho andikiwa na Mch. Evance Mnembuka.

Elmajor Pixels Group tunafurahi na kukupongeza Mch. Evance 🙏 ( biblia ) pia tunashukuru kwa kutuamini kufanya kazi yako ya kuchapisha vitabu. Karibu sana.

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rejic Technovaz Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Rejic Technovaz Limited:

Share

Category