ReyJons

ReyJons Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ReyJons, Arts and entertainment, Dar-es-Salaam Road, Morogoro.

Birthday Girl Wa Kuitwa UmmyKitwana] Vp Tunatoba Tupange Mabegi Au Tukaze Tu Mpaka Mwakani πŸ˜€πŸ˜€ Ishi Sana Mwaya UmmyKitwan...
19/12/2022

Birthday Girl Wa Kuitwa UmmyKitwana] Vp Tunatoba Tupange Mabegi Au Tukaze Tu Mpaka Mwakani πŸ˜€πŸ˜€ Ishi Sana Mwaya UmmyKitwana] 😍😍 HBB

Leo ni jambo jambo kubwa Rufiji; tunakwenda kumuenzi mmoja wa wabobezi na watopezi si tu wa siasa za nchi yetu bali pia ...
15/12/2022

Leo ni jambo jambo kubwa Rufiji; tunakwenda kumuenzi mmoja wa wabobezi na watopezi si tu wa siasa za nchi yetu bali pia sanaa na utamaduni wetu. Kazi inaanza asubuhi hii kwa kongamano kubwa la kwanza kumjua vyema Bibi T**i Mohammed alikuwa nani na alisimamia nini kisha jioni ni kuhongereka na listi ya wasanii ni kubwa sana sogea Viwanja wa Ujamaa Rufiji watakuwepo na wengine kibao.

Vp Amekucheki Au Anachelewaga Kuamka πŸ˜€With My People    ✌️
14/12/2022

Vp Amekucheki Au Anachelewaga Kuamka πŸ˜€
With My People ✌️

πŸ’›πŸ€Ž #πŸ†Jike
09/12/2022

πŸ’›πŸ€Ž
#πŸ†Jike

Haitham Kim] Haitham Kim] 😍😍 Link Her Bio  EnjoyGudMusic πŸ“ŒπŸ“Œ
09/12/2022

Haitham Kim] Haitham Kim] 😍😍 Link Her Bio EnjoyGudMusic πŸ“ŒπŸ“Œ

   with .repost・・・Mwanamichezo na Mtangazaji wa Clouds Media Group Shaffih Dauda  , amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (...
06/12/2022

with .repost
・・・
Mwanamichezo na Mtangazaji wa Clouds Media Group Shaffih Dauda , amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara, uchaguzi unatarajiwa kufanyika siku ya kesho Dodoma.

   with .repost・・・Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie ambaye pia Mjasiriamali Zuwena Mohamedi (Shilole) , amepitishwa n...
06/12/2022

with .repost
・・・
Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie ambaye pia Mjasiriamali Zuwena Mohamedi (Shilole) , amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara, uchaguzi unatarajiwa kufanyika siku ya kesho Dodoma.

πŸ–€πŸ’›
28/11/2022

πŸ–€πŸ’›

πŸ“Έ
28/11/2022

πŸ“Έ

25/11/2022
Train Your Mind To Be Calm In Every Situation  #πŸ†Jike
13/11/2022

Train Your Mind To Be Calm In Every Situation
#πŸ†Jike

Ukitaka Kumshinda Adui Yako Usidharau Uwezo Wake #πŸ†πŸ“Έ
09/11/2022

Ukitaka Kumshinda Adui Yako Usidharau Uwezo Wake
#πŸ†
πŸ“Έ

Address

Dar-es-Salaam Road
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ReyJons posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share