Goody gamer

Goody gamer -Tunachip na tunatengeneza ps2 ,ps3 ,Xbox360 na ps4
-Tunaingiza game za ps2,ps3,xbox360 na ps4
-

Ps4 fat Version 12Ina gemu 7....mpira FC25Padi ziko mbili cable zoteMashine haina kipengele  padi zake ndo zina sura ya ...
20/03/2025

Ps4 fat
Version 12
Ina gemu 7....mpira FC25
Padi ziko mbili cable zote
Mashine haina kipengele padi zake ndo zina sura ya serious tu

Inataka 580k

Nipo morogoro kihonda mtaa wa airport
0620121768

Wateja wangu napenda kuwajuza kuwa mzigo wetu wa padi za ps4 ushafika unapata padi bomba sana tuna rangi nne nyeusi,blu,...
07/01/2024

Wateja wangu napenda kuwajuza kuwa mzigo wetu wa padi za ps4 ushafika unapata padi bomba sana tuna rangi nne nyeusi,blu,nyeupe na nyekundu

Padi moja nauza kwa 50,000 lakn ukinunua padi kuanzia mbili utazipata kwa 45,000 moja

Kwa wateja wa morogoro mjini usafiri ni bure nakuletea mpka ulipo

Nipo morogoro kihonda mtaa wa airport

Pia natengeneza ps2,ps3 na ps4 naweka gemu kwenye ps2,ps3 na ps4

Karibuni sana

Carpet za ps3 zinapatkana ofisin kwetu kwa bei poa tu Bila kusahau tunatengeneza padi za playstaion na tunauza spare zak...
25/09/2023

Carpet za ps3 zinapatkana ofisin kwetu kwa bei poa tu
Bila kusahau tunatengeneza padi za playstaion na tunauza spare zake

Tupo morogoro kihonda mtaa wa airport karibu na tawi la yanga

Piga//whatsapp:0620121768//0763595770

pes 2024 ya ps3 Jipatie gemu mpya ps3 ya mpira PES 2024Kwa gharama ya 10,000 tsh tu.Hii gemu inaingia kwenye ps3 za aina...
24/09/2023

pes 2024 ya ps3

Jipatie gemu mpya ps3 ya mpira PES 2024
Kwa gharama ya 10,000 tsh tu.
Hii gemu inaingia kwenye ps3 za aina zote zilizochipiwa
Fat,slim na super slim

Pia tunaingiza gemu za ps4 za kuchip kwa 20,000 kwa gemu moja

Nana huduma ya kuchipu na kuweka magemu kwenye ps2,ps3 na ps4

Tunauza spare za padi na tunatengeneza padi za ps3 na ps4

Tupo morogoro kihonda mtaa wa airport karibu na tawi la yanga karibuni sana

Kwa mawasiliano piga//whatsapp:0620121768//0763595770

jipatie carpet za ps4 kwaajili ya ps4 yako sasa mzigo umeanza kupungua weka order yako sasa vifaa hivi ni original ni bo...
16/01/2023

jipatie carpet za ps4 kwaajili ya ps4 yako sasa mzigo umeanza kupungua weka order yako sasa vifaa hivi ni original ni bora kwa padi yako usiingie gharama ya kununua pad nyine ikiwa pad unayotumia sasa ina matatizo madogo madogo ya kurekebishika

mbali na hizo carpet kuna spare za kutosha za padi k**a vileanalogy za ps4 na ps3button zote za ps3 na ps4

pia tuna ingiza gemu za ps3 na ps4 kumbuka gemu izi ni kwaajili ya ps4 na ps3 zilizochipiwa
note:tunachip na kuigiza gemu za ps3 na ps4 tunatengeneza padi na kuuza spare za padi

Tunaingiza gemu za ✔ps2✔ps3✔ps4Kwa mrogoro tukakufata mpka ulipo Pia ✔tunachip ps3 na ps4 kwa gharama rafiki kabisaWasal...
17/06/2022

Tunaingiza gemu za
✔ps2
✔ps3
✔ps4

Kwa mrogoro tukakufata mpka ulipo

Pia

✔tunachip ps3 na ps4 kwa gharama rafiki kabisa

Wasaliana nasi kwa

📞0620121768

Pata package ya gemu tatu kwa bei ya 20000 tsh tuGemu hizi ni ✔pes 2022 updated squid✔blur (racing)✔The amazing spiderma...
15/06/2022

Pata package ya gemu tatu kwa bei ya 20000 tsh tu
Gemu hizi ni

✔pes 2022 updated squid
✔blur (racing)
✔The amazing spiderman 2

Kupata gemu iz wasiliana nasi kwa mawasiliano haya

📞0620121768 whatsapp/sms//call
🌎🌏🌏🌏🌏🌏🌏🌎🗺🌐

Location tupo morogoro kihonda

Ps4 gamesPs3 gamesPs2 games
15/06/2022

Ps4 games
Ps3 games
Ps2 games

Grand turismo 6 for ps3Call 0620121768Location morogoro
02/06/2022

Grand turismo 6 for ps3
Call 0620121768
Location morogoro

22/04/2022

Address

Morogoro

Opening Hours

Monday 11:00 - 22:00
Tuesday 11:00 - 22:00
Wednesday 11:00 - 22:00
Thursday 11:00 - 22:00
Friday 11:00 - 22:00
Saturday 11:00 - 22:00
Sunday 11:00 - 22:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goody gamer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Goody gamer:

Share

Category

tunachip ps3,tunaingiza ya ps2 ,ps3 na pc tunapiga window kwenye pc na desktop nakuingiza program za kutosha

VIDEO GAME FOR LIFE