29/05/2026
Finally, Something Powerful has arrived ππ₯
Tunafuraha kutambulisha rasmi THE CREATIVE QUEENS MEETUP 2026, ni event iliyolenga kuwakutanisha wanawake waliopo kwenye creativity, digital na tech industries kwa ajili ya kujifunza, ku-network, kushirikiana na kukua pamoja.
Na theme yetu ni π "Collaboration Over Competition" - Kwa sababu tunaamini wanawake wakisaidiana na kushirikiana, mambo mazuri na makubwa hutokea.
Hii event itakutanisha mabinti/wanawake ambao ni graphic designers, content creators, photographers/videographers, programmers, data scientists, social media managers, digital entrepreneurs, tech enthusiasts na wote wenye interest ya digital and tech industry.
From inspiring conversations to networking, creativity and empowerment, it is more than just an event. Itβs the beginning of a movement - ni community itakayokutanisha wanawake wenye ndoto, vipaji na maono makubwa.
π 22 August 2026, Saturday
π Dar es Salaam, Tanzania
Stay tuned for more exciting updates π
________
Proudly Powered by:
For mentorship, partnerships or sponsorships, send an email to:
[email protected]
Call/Whatsapp: 0769 375 253 / 0674 317 482