10/08/2026
Habari za Wakati Huu..
Kwa Unyenyekevu nakuja mbele yenu kumuombea Msaada wa chochote kaka na Ndugu yetu Godfrey Proches Swai almaarufu k**a Kipajero ambaye ni zaidi ya miaka miwili yuko Kitandani kutokakana na changamoto aliyopata iliyosababishwa na ajali.
Tunaamini Msaada wa chochote unaweza kumsaidia na kumrudisha katika hali yake ili aendelee na mapambano..
Wasilisha chochote utakachobarikiwa katika namba zilizopo kwenye Tangazo hili na Mwenyezi Mungu akubariki kwa kuguswa🙏🏻
Get well soon Brother Godfrey Proches