22/07/2023
Kuna mtu mmoja anaitwa lisu. Anamaneno ya kimaudhi na ya hovyo sana .Kuna maneno mengine anapotaka kuliongea Jambo apunguze hasira. Tunajua nihasira tu. Kutokana ilishawahi kuumizwa.asamehewe tu.
Tunachokitaka kuwaomba viongozi wote wapewe uwanja sawa wakuongea. Upande usitumie maneno makali wakati wa kutaka ufafanuzi wa Jambo lolote wanalo ona linaenda mlama.
Kuna kauli Mimi huwa hazinibariki sana.watawala ukiwakuta jukuani wanaongea Jambo kwakujiachia Sana bila owaga wowote. Na wanaweza hata kutamuka maneno yakejeri na dhihaka wakajiona wapo sawa tu.
Lakini akija Sasa wa kujibu na kukosoa haijarishi anatumia lugha gani .anaonekana K**a hayuko huru hivi. Na mkosaji mkubwa mbele ya jamii, Kitu gani kina mwogopesha?
Mimi kwa mtazamo wangu nilishatoa maoni kwanini usifutwe mfumo wa vyama vingi? Mbona K**a haijakaa sawa vile .
K**a umewahi hudhulia makongamamo,mikutano ya vyama vyasiasa hasa viwili hapa . Wote hawana busara kabisa .isipokuwa mmoja hataki kuambiwa baya .akisahau kuwa wote ni binadamu na wote ni wasomi na wote wanamadhaifu Yao.
Mimi afrika siielewi kabisa .majukwaa mengi yanatuharibu ubongo Sana. Yanataka masikini abaki kuwa masikini na mwelevu abaki kuwa mwelevu. Mke ndani anapaswa kushilikishwa Mali zote za mme wake,50_50 .nabinadamu wote ni sawa. Ni usawa wa damu tu? Au?
Viongozi jizuieni hasira. Msitegemee kila kitu kitapokelewa kwa asilimia Mia moja .Kuna watu mmewasomesha msitegemee hamtakosolewa,hamtakashifiwa,hamtapingwa,vumilieni lugha zote .ndiyo faida za kuleta shule,na tehama mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ukiwa mwongo na mtoto Kuna vitu atalithi. K**a unatukana matusi Naye ataona matusi ni sehemu .ya maisha. Ukimsikia Babu yetu anakwambia unahaki gani kudai kitu wakati haukuwepo tunapodai uhuru. Kwahiyo mtoto uliyemzaa Hana haki yakudai sehemu ya kipande Cha aridhi.kutoka kwako? Mfumo wa vyama vingi unafaida gani hasa kwa mwanachi?ufutwe Mimi naumia Sana kusikia familia hatuelewani kisa vyama .shida iko wapo vikifutwa letu liwe moja?