BASIC SUPER TV

BASIC SUPER TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from BASIC SUPER TV, Arts and entertainment, MBARALI, Mbeya.

For the all news about entertainment and sports ���� we getting here in this page and fo more details subscribe to my YouTube channel here��
https://youtube.com/
basic super tv

14/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mbwana Bakari, Clezencia Godfrey, Hermani Paulo, Daniel Aron, Sheggy Sebastian, Lubimbi Mahina

Liverpool na Barcelona zimeaga rasmi michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushindwa kuvuka hatua ya robo fainali....
14/04/2026

Liverpool na Barcelona zimeaga rasmi michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushindwa kuvuka hatua ya robo fainali.

Liverpool imekumbana na kipigo kingine kutoka kwa mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain (PSG). Nyota wa timu hiyo, Ousmane Dembélé, alifunga mabao mawili yaliyoiwezesha PSG kutinga nusu fainali kwa kishindo.

Katika pambano jingine lililovuta hisia za mashabiki, Atlético Madrid ilionyesha ubora wake licha ya kufungwa mabao 2-1 na FC Barcelona katika mechi ya marudiano. Ushindi wao wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliwapa faida ya jumla, na hivyo kuwahakikishia nafasi ya kusonga mbele hadi nusu fainali.
source VOA

Mchezo umekwisha.
09/04/2026

Mchezo umekwisha.

Bayern Munich Avunja  Uteja Na Real Madrid leo Madrid kapasuka chuma 2 kwa 1
07/04/2026

Bayern Munich Avunja Uteja Na Real Madrid leo
Madrid kapasuka chuma 2 kwa 1

HAKIKA SIJAPENDA KUBAGULIWA KWA YAMAL KITENDO HIKI SIO KIZURI - VIN JR
07/04/2026

HAKIKA SIJAPENDA KUBAGULIWA KWA YAMAL KITENDO HIKI SIO KIZURI - VIN JR

06/04/2026
Nani mkali wako hapa
06/04/2026

Nani mkali wako hapa

Mtumishi Nick Shaboka ameamua kuvunja Ukimya Baada ya Uvumi wa yeye na Mkewe Pastor Rose shaboka kushidwana."Niwaulize w...
06/04/2026

Mtumishi Nick Shaboka ameamua kuvunja Ukimya Baada ya Uvumi wa yeye na Mkewe Pastor Rose shaboka kushidwana.

"Niwaulize watu, hivi Mimi naweza kushindana na mwanamke niliye enda kumlipia mahari kwao, nikamleta kwangu, nikambadilisha jina, tena nikampa jina langu, nikamtia mimba ya kwanza akaenda leba kujifungua, mimba ya pili mpaka mimba ya tatu? Mbona mnakuwa Hamna akili nyie?

🗣️ pastor Nick Shaboka


SHUKA CHINI  KWENYE  COMMENT TUJUANE
05/04/2026

SHUKA CHINI KWENYE COMMENT TUJUANE

Nipende kuwatakia heri ya siku pendwa ya Kumbukizi ya Kufufuka kwa Yesu Kristo Duniani kote.    Tutende mambo mazuri  na...
05/04/2026

Nipende kuwatakia heri ya siku pendwa ya Kumbukizi ya Kufufuka kwa Yesu Kristo Duniani kote.
Tutende mambo mazuri na mema Huku Mungu Akituongoza kukwepa Kutenda dhambi ili Tusije Mrudisha Yesu Tena MSALABANI
BARIKIWA WOTEEEEE

.Taharuki imetanda Mkoani Mbeya na songwe Baada ya kuzuka kikundi cha watu.Nyeti hutoweka pindi Mtu huyo Atakapo kushika...
03/04/2026

.Taharuki imetanda Mkoani Mbeya na songwe Baada ya kuzuka kikundi cha watu.Nyeti hutoweka pindi Mtu huyo Atakapo kushika Nyeti zako kwa mwanaume Maumbile huwa madogo, Wakati mwingine Hutoweka kabisa
mambo hayo hutokea katika michanganyiko ya Watu mbalimbali k**a vile Sokoni au barabarani
JE UNGEKUWA WEWE UNGEVAA PINI NYETI ZISITOWEKE???

*Mimi ni Mhandishi wa habari sitakiwi kuweka Mapenzi na Nyimbo ya msanii yoyote ila nataka kusema Hii nyimbo Ni Kaliiiii...
02/04/2026

*Mimi ni Mhandishi wa habari sitakiwi kuweka Mapenzi na Nyimbo ya msanii yoyote ila nataka kusema Hii nyimbo Ni Kaliiiiii mnoooo BIEN FT ALIKIBA (FINALLY)*
HUYU DADA NDIO KAMALIZA MCHEZO HASWAAAAAA ANAITWA ni MKENYA HUYU DADA WAOOOOO AMAZINGLY

Address

MBARALI
Mbeya

Opening Hours

09:00 - 17:00

Website

https://youtube.com/@basicsupertv

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BASIC SUPER TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share