CHAZD

CHAZD HII PEJI INAWATLETEA BURUDANI NA MATUKIO USIKOSE KUTAZAMA VIDIO NA PICHA KILA WAKATI

28/10/2025

fungeni vyote ila msifunge betway na betpawa sportspesa
maana mtakuwa mmefinga ofisi za wengi
🤣🤣🤣🤣🤣
nawewe SEMA yako

BURE FC Mtulie kwanza mashabiki wanaolipa kiingiliongonga like
22/10/2025

BURE FC Mtulie kwanza
mashabiki wanaolipa kiingiliongonga like

KWA MARA YA KWANZA TIMUNKUTOKANTANZANIA KUWANIA TUZO ZA AFRIKA HII SASA IMEVUKA VIWANGO VYA BUREEEE FC🤣🤣🤣🤣🤣🤣Klabu ya Sim...
22/10/2025

KWA MARA YA KWANZA TIMUNKUTOKANTANZANIA KUWANIA TUZO ZA AFRIKA
HII SASA IMEVUKA VIWANGO VYA BUREEEE FC🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Klabu ya Simba imeteuliwa kuwania tuzo ya Klabu bora ya mwaka Afrika kwa mwaka 2025.

Simba Sports Club inawania tuzo pamoja na
Pyramids FC, RS Berkane, Mamelod Sundowns, Asec Mimosas, Orlando Pirates, Stellenbosch FC, CS Constantine, CR Belouizdad na Al Hilal SC.
Hakuna uchawi,Simba ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita wakati BURE FC 🤣🤣 iliishia hatua ya makundi Klabu bingwa Afrika mwaka wa janaaaa

HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili Daniel Stephen S...
22/10/2025

HABARI:
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili Daniel Stephen Seif (K***a) (24) mkulima, mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi na Daniford Stephen Seif (24) (Doto) mkulima Mkazi wa Kijiji cha Mraushi "A" Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kifungu cha 196 na 197 marejeo ya Mwaka 2022.

Daniel na Daniford wote kwa pamoja walitenda kosa hilo Disemba 15, 2024 katika Kijiji cha Mraushi "A" kwa kumpiga mama yao mzazi Upendo Methew (42), katika paji la uso, kwa kutumia jembe na mchi hivyo kumsababishia majeraha yaliyopelekea kifo chake.

Watiwahatiani wote wawili walikiri kutekeleza mauaji hayo ya kikatili baada ya kumtuhumu mama yao kuwa anawaroga

21/10/2025
21/10/2025
tupate wazamn kidogo
07/10/2025

tupate wazamn kidogo

Address

ILEMI
Mbeya

Telephone

+255753180123

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CHAZD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to CHAZD:

Share

Category