Asafu Choir Moravian Isanga

Asafu Choir Moravian Isanga Karibu Katika Ukurasa Rasmi wa Kwaya Ya Asafu Kutoka Ushirika Wa Moravian Isanga..!!! Unaweza Kutupata Pia Kupitia Instagram

.

12/06/2026

Tulio Ndani Ya Yesu Tunaraha!! 😍

04/06/2026

It's all about celebrating Jesus Christ, our Lord 😊

04/06/2026

Hakuna Kinyonge Kitakachoingia Mji Ule 💪

🎂 Leo ni siku yako! Tunakutakia furaha, afya njema na mafanikio mengi. Happy Birthday Baraka Mwaijoka! 🎉🥳
03/06/2026

🎂 Leo ni siku yako! Tunakutakia furaha, afya njema na mafanikio mengi. Happy Birthday Baraka Mwaijoka! 🎉🥳

01/06/2026

Najua 😇

01/06/2026

Jumapili Ya Jana Tarehe 31.05.2026 ilikua ni Sikukuu Yetu Vijana Kati (Asafu Choir) Kanisa la Moravian Isanga Mbeya Tanz...
01/06/2026

Jumapili Ya Jana Tarehe 31.05.2026 ilikua ni Sikukuu Yetu Vijana Kati (Asafu Choir) Kanisa la Moravian Isanga Mbeya Tanzania.

Sikukuu ilikwenda Vizuri na Ama kwa hakika Tuliuona Mkono wa BWANA 😇🙏.. Tunashukuru Wageni wetu wote na Wale wote waliofanikisha Sikukuu hii Muhimu kwetu.

AHSANTENI sana na Mungu awabariki. TUNAWAPENDA

Mwezi Mei Mwaka Jana 2025 Tuliishia Hapa Katika  Sikukuu ya Vijana Kati Isanga Moraviani Mbeya...Tarehe 31.05.2026 Tunak...
18/05/2026

Mwezi Mei Mwaka Jana 2025 Tuliishia Hapa Katika Sikukuu ya Vijana Kati Isanga Moraviani Mbeya...

Tarehe 31.05.2026 Tunakukaribisha Tena Katika Sikukuu Yetu Ya Mwaka Huu... Tutaimba, Tutaserebuka, Tutasifu, Kuomba na Kumtolea Mungu Sadaka Kwapamoja...

Ni Mengi Tumekuandalia Nawe Usikubali Kupitwa katika hili. KARIBU SANA...

08/06/2025

Ni Raha Ufikapo muda wa Kumtumikia, Kumuimbia na kumfanyia Bwana IBADA baada ya Pirika za Wiki nzima... 😊

Karibuni Kanisa la moraviani isanga Mbeya hapo ndipo Nyumbani kwa

Watumishi Mbalimbali Wakihudumu Ibadani Siku ya sikukuu Ya Asafu Choir Jumapili Ya Tarehe 25.05.2025
28/05/2025

Watumishi Mbalimbali Wakihudumu Ibadani Siku ya sikukuu Ya Asafu Choir Jumapili Ya Tarehe 25.05.2025

Address

Isanga
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asafu Choir Moravian Isanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Asafu Choir Moravian Isanga:

Share

Category