christinehebron_tz

christinehebron_tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from christinehebron_tz, Art, Makongo.

The joy of the LORD is my strength😍😍❤❤❤
31/10/2021

The joy of the LORD is my strength😍😍
❤❤❤

Loving yourself is the greatest revolution❤❤❤Happy Sunday Fam🌻
31/10/2021

Loving yourself is the greatest revolution
❤❤❤
Happy Sunday Fam🌻

Happy birthday Mama yangu na mtumishi wa MUNGU 🎂Wewe ni wa thamani sana.May GOD take care of you..May grace and favor no...
26/10/2021

Happy birthday Mama yangu na mtumishi wa MUNGU 🎂Wewe ni wa thamani sana.

May GOD take care of you..
May grace and favor not diminish in your life

May GOD keep you for generations and generations.

🎂🎂🎂❤❤❤🌷🌷🌷

🌟

15/10/2021

Wimbo kutoka Essence of Worship Ministries utakuwa Youtube jumatano ya tarehe 20 mwezi huu wa kumi.
Wimbo huu ulirecordiwa katika live recording Worship.

Video capturing

Edited by

Audio production

Stay tuned🔥🔥🔥

MY WORSHIP TOUR DODOMAKAA TAYARI..Ukipata habari njema hii tafadhari mshirikishe na mwingine🔥Mkazi wa Dodoms na maeneo y...
15/10/2021

MY WORSHIP TOUR DODOMA
KAA TAYARI..

Ukipata habari njema hii tafadhari mshirikishe na mwingine🔥

Mkazi wa Dodoms na maeneo ya karibu hii si ya kukosa🔥🔥🔥

25/09/2021

YEYE ni wa kwanza na wa mwisho,
°Habadiliki
°Hasemi uongo
°Hafungwi na muda
°Hazuiliwi na mipaka
°Alikuwepo
°Yupo na
°Atakuwepo

You are Yahweh🙌Alfa and Omega
Usiache kuungana nasi kwenye ibada ijayo ya worship in spirit 1 October saa moja jioni.




Watu wa Dodoma msipange kukosa...Save the date💃💃🔥🔥🔥
22/09/2021

Watu wa Dodoma msipange kukosa...
Save the date💃💃🔥🔥🔥

Shalom mtu wa MUNGU nakukaribisha sana kwenda Boomplay ukabarikiwe na wimbo "UONGEZEKE YESU"kutoka kwa kaka yetu Boaz Da...
15/09/2021

Shalom mtu wa MUNGU nakukaribisha sana kwenda Boomplay ukabarikiwe na wimbo "UONGEZEKE YESU"kutoka kwa kaka yetu Boaz Danken].

Haya ni MAOMBI na UKIRI ukiimba kwa IMANI na KUMAANISHA hutabaki k**a ulivyo.

nipungue wewe uongezeke🙇
Mimi nipungue wewe uinuliwe
Uinuliwe YESU
Uinuliwe sana🙌🙌🙌
Mimi nipungue wewe uinuliwe🙇🙇

Boaz Danken]
YESU
GOD BLESS YOU..

Yeremia 1:5Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua,na kabla hujatoka tumboni nalikutakasa,nimekuweka kuwa nabii wa matai...
14/09/2021

Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua,na kabla hujatoka tumboni nalikutakasa,nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Namshukuru MUNGU kwaajili yako...kipekee kukuongeza mwaka mwingine hakika ni NEEMA na UAMINIFU wa MUNGU tuu.

MUNGU azidi kukutunza na kukulinda siku zote...uso wake uwe pamoja nawe siku zote na fadhili zake zisukupungukie....HAPPY BIRTHDAY TO YOU MY LOVELY BROTHER 🎂❤🌷🌹🌻🌺

SEPTEMBER TO REMEMBER🌻❤  new month 🔥🔥🔥
01/09/2021

SEPTEMBER TO REMEMBER🌻❤
new month
🔥🔥🔥

HAPPY NEW MONTHNEW MONTH❤NEW GAINS❤❤❤❤
01/09/2021

HAPPY NEW MONTH
NEW MONTH❤
NEW GAINS❤
❤❤❤

Saa ipo nayo ni sasa ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli..maana Baba anawatafuta watu k**a hawa...
24/08/2021

Saa ipo nayo ni sasa ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli..maana Baba anawatafuta watu k**a hawa ili wamwabudu.

Tamani iwe ni kiu na shauku ya moyo wako kumwabudu Baba katika roho na kweli...

Ibada yako ianzie ndani,iwe safi isiyo na uchungu,majivuno,maumivu,lawama na mengine yote ambayo yanaondoa na kuharibu uwepo wa MUNGU.





Address

Makongo

Telephone

0718150501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when christinehebron_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category