Draveg

Draveg Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Draveg, Music Chart, Kinondoni.

16/03/2026

KWENYE NYIMBO ZANGU ZOTE HII NDIO NYIMBO NILIOFANYA STUDIO NA ILIKUWA MWAKA 2021..NA KABLA YA HAPO HAKUNA NYIMBO NILIOKUWA STUDIO NA BAADA YA HAPO PIA HAKUNA NYIMBO NILIOKUWA STUDIO..❌ZILIZOBAKI ZOTE NI UJUZI BINAFSI☑️
JE KWANINI NI WIMBO MMOJA TU MPAK SASA..?
PICHA LINAANZA STUDIO TUH ILIKUWA INSHU KIPATO AKIKIDHI MAHITAJI,..ILAH KUTOKANA NA KUISHI VIZURI NA WATU MTAANI BASI KUNA MWANA MMOJA ALITOKEA KUNIAMINI KIASI KWAMBA AKANIKABIDHI PESA KIASI CHA ELF60😊NIMUHIFADHIE JINA LAKE ANAITWA (PABLO)..ALIVYONIPA ILE PESA USIKU WAKE SIKULEMBESHA NIKAENDA KUTOA NGOMA💥LAKINI KITU SHANGAZA ASUBUHI NASKIA TAARIFA PABLO KAPATA AJARI YA PIKIPIKI DAH..!IKABIDI NIKAMUONE SIKU YA 2 YAKE,NIMEFIKA MPAKA HOME KWAO HAKUWA VIBAYA SANA NA UBAYA ZAIDI PALE NI KWA AUNT YAKE KWAO SIO DAR..!SO NIKIJANA ANAEJIPAMBANIA TU K**A MIMI ,SASA PABLO AKANIAMBIA KUWA NIMSAIDIE ILE PESA KIDGO AJIBOOST NAYO🙌SIKIA SASA UBAYA ZAIDI BADO VERCE TWO HAIJAINGIZWA PESA YOTE NILILIPA HILI NIFANYE MUZIKI NIKAJUA KUW HATOIHITAJI PESA KWA MUDA ULE NA UKWELI ULIKUW HIVO LAKINI ILE AJALI IKJA KULETA COMPLAIN NA MATARAJIO TOFAUTI,ASEE NILIUMIA KWAKUW NAMUONA HAYUPO KATIKA MAZNGIR MAZUR ALAFU SINA CHOCHOTE KWA MUDA HUO..NDIOSABABU ILINIBD NITOE COLLABO ILI MTU MWENGINE AMALZIE VERSE TWO MAAN HATA IO NGUVU SIKUA NAYO TENA..!NA HII NDO NGOMA YANGU IMETOKA MWAKA 2021 NA SIJAWAZA KUACHIA OFFICIAL NYINGINE..🤲🙏 MPKA ROHO WA MUNGU ATAPONIONGOZA..LAKINI PABLO KOKOTE ULIKO MUNGU AKUZIDISHIE MAISHA MAREFU NA YENYE AMANI NDUGU YANGU DUNIA DUARA TUTAONANA TU ONEDAY🙏
ZITAPITA NYIMBO NYINGI ILA SI ZA MR.JESUS HZI HUWA ZINAISHI DAIMA💎☑️ Artist:Jitu Jesus



My eyes'look the sky, don't be a shy,tell papaa what u want don't be lier 🤲🙏🏆         🌙
12/03/2026

My eyes'look the sky, don't be a shy,tell papaa what u want don't be lier 🤲🙏🏆




🌙

11/03/2026

HOW YOU CAN CONTROL YOUR GAME TWIN..ME I CAN CONTROL LIKE THAT..✈️🏆


🚀

09/03/2026

VIJANA HAWA NI VIJANA WENYE MATAMANIO MAKUBWA YA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KATIKA NYANJA TOFAUTI TOFAUTI🇹🇿🇹🇿
...Hii ni Brand namba Moja ya kukufanya upate New idea,New vision na mtazamo mzuli,kudecorate Nyumba Yako,na pia huongeza thamani zaidi na mazingira yote kuwa katika wasifu wa kimataifa💎
....hii ni Brand namba Moja ya kukufanya upate muonekano wa kimataifa katika ofisi Yako kwa wewe mfanya biashara,hubadilisha hadhi na kuweka viwango vya hadhi ya heshima zaidi..na pia hutoa huduma ya Printing's za aina zote kwa ubora wa Hali Juu💎
...hii ni Brand namba Moja yenye kukuwezesha kupata vito vya Thamani (Jewelry) kutoka Chines,marekani na ufanya kuwa comfortable zaidi kwasbabu ya m'ngao wake na ubora wake,inakupa muonekano wakishua zaidi💎
...hii ni Brand namba Moja yenye kukuwezesha kupata Decorations nzuri zaidi ya shelfes nikimaanisha makabati ya kisasa,yenye kufanya Chumba chako,jiko lako kuwa katika muonekano wa kimataifa zaidi💎
...hii ni Brand namba Moja kwenye upande wa Mavazi ya aina zote na yenye ubora na viwango vikubwa vya kimataifa,Mavazi yake hufanya mtu aonekane katika mtazamo Wenye kuvutia zaidi,💎
UNAWEZA KUBONYEZA TAG YOYOTE UIPENDAYO ILI UPATE KUTHIBITISHA NA KUWEZA KUJIPATIA KILE UNACHOKIHITAJI NA KUKATA KIU YAKO YA MIAKA YOTE🤝🙏🇹🇿

04/03/2026

MAANA HALISI YA MAPENZI NI HII..🤭🌹
AFRICA IS LOVE🌹
THE MEANING OF LOVE..❤️🤍❤️

ा_सहायते💫❤️👑🔰follow_me😎🕶️‼️रामाघणी‼️

Tommor I Can explain well'about February🏆but my all t-shirt,jezi,cape,soksi,jacket,bag,suit,cup×etc+ since young Printin...
01/03/2026

Tommor I Can explain well'about February🏆
but my all t-shirt,jezi,cape,soksi,jacket,bag,suit,cup×etc+ since young Printing by dah..!🔥🔥🙌
My OG's Jewery,chains,pillate,watch, neckless,×etc+
since young dah..!🔥🔥🙌
My code'Outifts'Full package,since Young dah..!🔥🔥🙌
My Rebon on head since young dah..!🔥🔥🙌
Slide Twin can u see what's talking About..!
Some of WorldPhoto u can see the how he did it📸since Young Dah..!🔥🔥🙌




AT PANDORA🤭🙃☺️
26/02/2026

AT PANDORA🤭🙃☺️




I need to Go Pandora City,Jah bless me🤲..I'am alien for you Please Don't leave me..😭🔑
25/02/2026

I need to Go Pandora City,Jah bless me🤲..I'am alien for you Please Don't leave me..😭🔑




24/02/2026

Samahani..'naomba uisikilize hii nyimbo inayoitwa
°°WIMBO MPYA°°naipenda sana...praise everyday*




23/02/2026

‎THE ULTIMATE DISNEY FAN EVENT
‎JUST ANNOUNCED.. AVATAR UPDATES FOR TANZANIA ADVENTURE..✈️--2026..
‎.
‎AVATAR FIRE & ASH 🎬
‎.
‎For now I'm Jackie From Avatar..🌹
Music name: NON'STOP(USIACHE) by Me On
Cc



‎ 💎🦒🗻
Thanx giving 🎬 made me..👊

22/02/2026

N'hee What's the meaning Of pillate..? is a vibe's of mine jewelry,unadhifu binafsi but "BE MAN📌..!shll'ts niceOne jewelry for u en Mom💎 Exactly,So And what's the meaning of Hiphop..? Category music sound🎧🙌 WOW nice nice enhee' and Finally what's GOD need..?to BELIEVE yeah BELIEVE IN GOD IN GOD IN GOD IN GOD ONLY AND WHATS GOD NEED THEN UFUATE ..🌹☑️(sikiokwake)
🚀
🌙
☝🏿️

Address

Kinondoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Draveg posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category