Bembe Games

Bembe Games Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bembe Games, Game Publisher, Kigoma.

26/01/2026

Game la Tanzania Fts 2026 nbc v2

゚viralシ

25/01/2026

Tazama Fts 2026 NBC MOD V2 by bembe

゚viralシ

10/01/2026

07/01/2026

Heri ya mwaka mpya✅️Asante sana kwa support yako ya kipindi hichi tulicho malizaNaamini tutakua na michezo mingine bora ...
02/01/2026

Heri ya mwaka mpya✅️

Asante sana kwa support yako ya kipindi hichi tulicho maliza

Naamini tutakua na michezo mingine bora katika Channel hii

Endelea Kuwa nasi katika Jamii hii ya michezo

Asante.

17/09/2025

Hivi Karibuni tutaweza kuleta Mchezo mpya Wa DLS 2026 NBC MOD

28/07/2025

Kuna Project Mpya Ambayo Nimeianza, Sasa naitaji watu watakao Nisaidia Kupanga baadhi ya Sauti, unaweza kujitokeza kunisaidia,Ikiwa una PC itakuwa Vyema Zaidi

+255787590074

FTS 2025 NBC MOD V2INAPATIKANA SASA KWENYE CHANNEL YANGU LINK IPO KWENYE COMMENT
10/05/2025

FTS 2025 NBC MOD V2
INAPATIKANA SASA KWENYE CHANNEL YANGU LINK IPO KWENYE COMMENT

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS NBC V2Ambapo hadi sasa Tumeweza Kusasisha Vitu Kadhaa ambavyo atukuviweka K...
30/04/2025

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS NBC V2

Ambapo hadi sasa Tumeweza Kusasisha Vitu Kadhaa ambavyo atukuviweka Kwenye Toleo Letu la Kwanza la Mchezo

Hadi sasa Tumeweza Kusasisha Baadhi ya Viwanja vinavyo Tumika Kwenye Ligi ya NBC

Tumeweza Kusasisha baadhi ya Viwanja ambavyo tumeviweka kwenye picha hapo chini,Tumeweza Kusasisha Viwanja hivyo ili kuweza Kuleta Ualisia Kwenye Mchezo

Endelea kuwa na kwa taarifa zaidi Za michezo

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS 25 NBC V2Ambayo hadi sasa Tupo haraka Ili tuweze KumalizaTumeweza Kuweka Je...
22/04/2025

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS 25 NBC V2

Ambayo hadi sasa Tupo haraka Ili tuweze Kumaliza

Tumeweza Kuweka Jezi za timu pamoja Na Mpira unaotumika kwenye Ligi ya NBC

Tupo haraka ili tuweze Kukamilisha Mradi huu Wa FTS 25 NBC, hivi karibuni Tutaweza kutoa Video ya Treller au Video ya Maonyesho Ya Vitu ambavyo Tumekwisha Kuweka katika mchezo

Pia Usisahau Mchezo Huu Tutauleta Ukiwa na Wasimulizi Yaani Watangazaji wakiwa wanatanza kwa Lugha Ya Kiswahili

Endelea Kuwa nasi Kwa Taarifa Zaidi za mchezo

Address

Kigoma

Telephone

+255787590074

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bembe Games posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category