abdurazack_3660

abdurazack_3660 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from abdurazack_3660, Arts and entertainment, Kigoma.

Kwa simulizi kalii na tamu zitakua zina patika hapa k**a wwe ni mpenzi wa simuluz basi jisogeze hapa,pia kwa habari zote za kijamii siasa,michezo,burudani,utamaduni,wasanii na mambo yote ya udaku basi usisite kutembelea page hiii

11/02/2025
.5
23/08/2024

.5

22/05/2024

K I N G
11/07/2023

K I N G

13/04/2022

Vibe baada ya kufuturu 😂

Full time
27/10/2021

Full time

Amezungumza hayo msemaji huyo wa klabu ya wananchi(yangasc) anaejulikana k**a haji s manara(bugati),kupitia kipindi cha ...
13/10/2021

Amezungumza hayo msemaji huyo wa klabu ya wananchi(yangasc) anaejulikana k**a haji s manara(bugati),kupitia kipindi cha lavidavi kinachorushwa na radio ya wasafifm na diva the bowse

Hakuikuwa rahisi kuyashinda majaribu yote niliyopitia,japo ugumu wa maisha ulinifanya niwe imara kwenye kufanya maamuzi ...
22/06/2021

Hakuikuwa rahisi kuyashinda majaribu yote niliyopitia,japo ugumu wa maisha ulinifanya niwe imara kwenye kufanya maamuzi ila kwenye jambo hili nilihitaji akili ya ziada.

"Najua unataka kazi ila nimeshakwambia nakupatia kazi mpka ufanye kile ninachokitaka k**a unahisi huwezi naomba ondoka nyumbani kwangu"

Nilimtazama sana mama huyu ambae hakuonesha hata chechembe ya huruma kwangu japo niliamin hakuna nachoeza kumshawishi ila niliamua kumjibu.

"Lakini boss wangu kwanin na mimi usijaribu kunielewa,nikweli naitaji pesa ila unachotaka nipe muda nijifkirie"

Hahahaa!!! mbona una utoto mwingi wwe ivi kwa uzuri nilionao,kwa shepu hiii na pesa nilizo nazo ni wakukutaka wwe mzoa taka mbona hujijazii wwe,?embu ckia k**a hutaki kupita na me ondoka k**a uko tayariii ingia ndani tumalize mchezo chapu.

Aliongea ivo na kuingia ndani,kiukwelii alinichanganya sana kwa uzuriii wake,hakuonyesha kuwa na shida yoyote zaidi ya penzi kwa muda huo,
nilijiangalia mara mbili mblili lakini ckujipti jibu.

" ivi kapenda nini kwangu mbna sina mvuto wwote na harufu hii ya uchafu? Nilijiuliza sana lakini sikupata jibu,niliinua macho yangu kuangalia mlango wake nikijua labda atanionea huruma japo anipe kazi nyingne tofauti na hiyo alioitaka yeye lakin haikuw ivo na mlango haukufunguliwa,nilisimama pale kwa muda nikiwaza nini cha kufnya ila sikuona sababu ya kufnya nae mapenzi kwasabu ya pesa wakati siijui afya yake.

Niliamua kulifuata geti ili nirudi nilipotokea ila niliwaza kitu
"Tangu asubuhiii sijaingiza chochote,hapa nilipo sina hata mia mbovu njaa nilionayo so ya nchii hii duuh nyumbani sijaacha chochote!!!yaniii napata shida zote iziii kwasabu ya kutoa penzi tena kitendo cha dakika chache nakua boss mpya???

Nilijiuliza sana mwisho nikaamua kugeuka na kuanza kumuita ndanii ili atoke ila kabla cjaendelea tena niliamua kuacha, nilifungua geti na kuondoka kuufata mkokoteni wangu nikiwa na hasira kaliii,niliyafkiria sana maisha "yaani mtu anashindwa kukusaidia na uwezo anao mpka umpe penziii?? Niliumia sana mwisho nilimshukuru mungu kwakuw hutoa kwa amtakae na anamnyima amtake.

Wakatiii nikiwa nmekaa kwenye mkokoteni nilimuona yule mama anakuja .

"Nmeupenda msimamo wako,kweli we ni mwanaume wa kweliii,kiufupiii me ni mjane nmefiwa na mume ila niliitaji mwanaume wa ukweliiii k**a wwe ili aweze kunioa tuendekeze mali alizoniachia mume wangu,wengi wenu walishindwa zoezi nililokupa wwe licha ya shida ulizonazo umeshindwa hata kuufikia mlango wangu naomba inuka twende wote"

UMEJIFUNZA NINI

Share
Like
comment

Niliahidi kukupatia simulizi kaliiii na tamu...k**a upo tayariiiii kwa simuliziiii kaliiiii  nijuze kwenye comments hapo...
28/11/2020

Niliahidi kukupatia simulizi kaliiii na tamu...k**a upo tayariiiii kwa simuliziiii kaliiiii nijuze kwenye comments hapo chini ili nije na simuliliziiiii nyingne mpyaa

Address

Kigoma

Telephone

+255717763138

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when abdurazack_3660 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to abdurazack_3660:

Share