29/05/2025
πΊ π
πππππ πππππ πΊ
β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬
π Karibu mahali ambapo Upendo, Amani & Furaha vinatawala!
Hapa tunajenga maisha ya familia kwa pamoja kwa moyo mmoja. Kupitia kundi hili unaweza kupata:
πΌ KAZI | π MPENZI | π₯ WATU MUHIMU katika maisha yako
β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬
π Heshimu kila mwanachama β Hakuna mtu wa kawaida hapa!
π¬ Tusisahau kuwa na lugha nzuri, tabasamu lako linaweza kuwa tiba ya moyo wa mtu mwingine!
β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬
π SHERIA ZA GROUP (Lazima Ziheshimiwe!) π
β π Epuka kutumia lugha chafu au matusi ya aina yoyote
β‘ π« Hairuhusiwi kushare link za magroup mengine bila ruhusa ya admin
β’ πΈ Usitumie video au sticker zisizofaa (za matusi, utupu au kejeli)
β£ π
ββοΈ Usimseme vibaya au kumdhalilisha mwanachama mwingine
β€ π Admin ndio mwenye mamlaka ya mwisho β heshimu maamuzi yake
β₯ π€ Kuleta fujo, makundi ya siri au siasa kali hairuhusiwi kabisa
β¦ ποΈ Tunathamini Amani, Upendo, na Mshik**ano β Tunza hayo kila siku
β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬
π Wasiliana na Admin kwa lolote:
π± +255 776 881 946
π± +255 618 223 397
β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬
π€ΈπΌββοΈπ€ΈπΌββοΈ Kila mwanachama ni wa kipekee β Karibu tuishi k**a Familia ya kweli!
ποΈ FAMILY HOUSE β Nyumbani pa Upendo, Kazi, Furaha na Urafiki wa kweli
β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬β¬
WhatsApp Group Invite