Extra Ordinaries.

Extra Ordinaries. This page concerning abt business, health, sports and psychology....you are so welcome to like ,,com

JIFUNZE MBINU ZA KUUZA ZAIDI NA KUPATA WATEJA WENGI  MTANDAONI .K**a wewe ni mjasiriamali unaezalisha bidhaa zako au una...
02/08/2022

JIFUNZE MBINU ZA KUUZA ZAIDI NA KUPATA WATEJA WENGI MTANDAONI .

K**a wewe ni mjasiriamali unaezalisha bidhaa zako au unanunua na kuuza bidhaa na unahitaji kuuza bidhaa zako kwa wingi kwa njia ya mtandao ndani ya muda mfupi na kupata faida kubwa ..basi nina habari nzuri mno kwa ajili yako.
Nimekuandalia darasa la BURE ambalo utajifunza mbinu za kupata wateja wengi mtandaoni.
Ndani ya darasa hilo tutazungumzia yafuatayo:
1. Siri kuu tano (5) zinazotumiwa na wafanyabiashara wakubwa ili kuuza zaidi.
2. Makosa saba(7) Yanayowafanya wajasiriamali wa mtandaoni kukosa wateja.
3. Namna ya kuandaa matangazo yenye kunasa wateja wengi.
4. Namna ya kutangaza matangazo kupitia mtandao wa Facebook na Instagram.

Kujiunga na darasa hilo Gusa kiungo (Link) ifuatayo :๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://chat.whatsapp.com/KVifkvUi5CD1sEFYaGEaj0

Ni mimi mpenda mafanikio yako
Joram Majogoro
( C E O Amazing Creations.)

WhatsApp Group Invite

09/08/2021

..
๐Œ๐š๐ญ๐จ๐ค๐ž๐จ ๐ฒ๐ž๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ฆ๐š๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฒ๐š๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐ข๐ค๐š๐ง๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š __
~๐’Ž๐’‚๐’‚๐’“๐’Š๐’‡๐’‚
~๐‘ผ๐’‹๐’–๐’›๐’Š
๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š๐ง๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐š๐ฆ๐›๐š๐จ ๐ฐ๐š๐ง๐š ๐ฎ๐ณ๐จ๐ž๐Ÿ๐ฎ ๐ง๐š ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐ฎ๐ง๐š๐ฅ๐จ๐ฅ๐ข๐ญ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š.
๐˜”๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜ฐ ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ฆ ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ช๐˜ต๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ด๐˜ถ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ง๐˜ฆ๐˜ฅ๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ข๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ต๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ข๐˜ณ๐˜ช๐˜ง๐˜ข ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข ๐˜บ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ด๐˜ข ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฒ ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ข๐˜ณ๐˜ช๐˜ง๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ป๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข.
๐Ÿ…ฃ๏ธŽ๐Ÿ…๏ธŽ๐Ÿ…š๏ธŽ๐Ÿ…”๏ธŽ ๐Ÿ…˜๏ธŽ๐Ÿ…ฃ๏ธŽ.

05/01/2021
24/11/2020

Video hi inatoa maarifa kuhusu msongo wa MAWAZO na jinsi ya kuondokana nao.

01/09/2020

NJOZI NA UTHUBUTU.

hautabadilika kwa kile watu wanachowaza Bali kwa njozi zilizowekwa katika matendo"
...Watu wengi hawajafanikiwa kwa Sababu wamekosa NJOZI na UTHUBUTU maishani.

Njozi Ni Nini....!!???
โˆ†Ni malengo ya muda mrefu ambayo mtu Makini hukusudia kuyafikia maishani

MAMBO MUHIMU KUFANYA NJOZI YAKO KUFAULU.

โˆšMshirikishe mwenyezi MUNGU akuongoze kufikia njozi yako.

โˆšWeka lengo la muda Ni lini ungependa kufikia njozi yako.

โˆškuwa balozi wa njozi yako.

โˆšShiriki njozi yako na marafiki wanaokutakia mema.

UTHUBUTU....
Ni muunganiko wa uwezo na imani kwamba kitu Fulani kinawezekana.
Au
Ni utayari wa kupoteza kitu Fulani ili kupata kilicho Bora zaidi.

Umuhimu wa kuwa na njozi.
``Njozi hujenga tabia.
``Huelekeza matumizi ya rasilimali.
``Hurahisisha uchaguzi.
``Huleta hamasa kukabiliana na Changamoto.

11/08/2020
AFYA YANGU:     madhara ya Punyeto."Nothing is impossible,the word itself says 'i'm Possible"Kitendo Cha mwanaume kujich...
10/08/2020

AFYA YANGU:
madhara ya Punyeto.
"Nothing is impossible,the word itself says 'i'm Possible"

Kitendo Cha mwanaume kujichua katika uume wake ndio huitwa Punyeto nayo Ina madhara makubwa kwake kwani hupelekea ukosefu was nguvu za kiume.

Leo tujikite kuangalia madhara anayoweza kupata mtu anayefanya Punyeto...

โˆšHudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume ambayo ndio hufanya uume usimame.

โˆšKudhoofika kwa mishipa ya ateri ambayo ndio husafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya uume na hivyo kuufanya usimame.

โˆšKuvuja kwa mishipa ya vena na hivyo kusababisha damu kufyonzwa kwa haraka Sana kila iingiapo ndani ya misuli ya uume na matokeo yake Ni uume kusimama jwa muda mfupi Sana wakati wa tendo la ndoa.

โˆšPunyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye mishipa ya uume kwa Sababu hudhoofisha misuli na mishipa ya damu na mishipa ya ateri ambayo ndio hutumika katika kusafirisha damu kwenda kwenye uume.

โˆšHujenga ukungu katika kiwanda Cha uzalishaji was manii(nguvu za kiume)na husababisha jito la haraka pindi tu unapopata hisia za mapenzi na ndipo unajikuta unakojoa mapema pindi unaanza tendo pengine katika kuaandaana tu.

Sasa tuangalie dalili za mtu alieathirika na Punyeto......

Dalili za mtu alieathirika na Punyeto.

``Uume kusinyaa na kuwa K**a wa mtoto mdogo.

``Uume kurudi ndani.

``Uume kusimama ukiwa legelege.

``Kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa.

``Kushindwa kurudi Tena raundi...inayofuata au kuchelewa kurudi tendo.

``Muda mwingine uume husinyaa ndani ya uke wakati wa tendo la ndoa.

``kutoa manii nyepesi zisizo na nguvu,hata utokaji wake sio wa kuruka.

Asante kwa kujumika nasi katika SoMo la leo usisahau ku like ku comment na kuwaalika wengine.

MAMBO YA KUZINGATIA KWA KIJANA ANATAKA MAFANIKIO.  asipotumia vema Fursa alizonazo ujanani atageuka kuwa adui mkubwa wa ...
04/08/2020

MAMBO YA KUZINGATIA KWA KIJANA ANATAKA MAFANIKIO.

asipotumia vema Fursa alizonazo ujanani atageuka kuwa adui mkubwa wa maisha yake #

Mafanikio Ni matokeo chanya kutoka viwango vya chini vya kimaisha kwenda viwango vya juu.

Kila KIJANA anaehitaji mafanikio lazima azingatie yafuatayo:-

ยฐยฐIBADA.
Ibada ni jambo la muhimu kwani mwenyezi MUNGU ndiye mwenye kukuwezesha kufanikiwa.Mwenyezi MUNGU anakpatia afya njema,akili na maarifa ya kukufanya ufanikiwe.

ยฐยฐKAZI YA UZALISHAJIMALI.
Ni muhimu kuwa na Kazi au shughuli maalumu ambayo ni halali ili kukuingizia kipato.

ยฐยฐKUFANYA KAZI KWA BIDII.
Mafanikio hayawezi kufikiwa endapo mtu atafanya Kazi kizembe.Ni muhimu kujituma na kufanya kazi au shughuli inayokuingizia kipato kwa bidii.

ยฐยฐUSAFI BINAFSI NA WA MAZINGIRA.
Mtu mwenye afya Bora ndie mwenye uwezo was kufanya kazi Bora.Ni muhimu kufanya Usafi wa mwili wako pamoja na usafi was mazingira yanayokuzunguka ili kuepukana na magonjwa.

ยฐยฐKUPATA MARAFIKI WANAO KUJENGA.
Kuwa na marafiki watakaokuwa na msaada katika harakati zako za mafanikio.Marafiki Bora Ni wale wanaoweza kukuunga mkono na kukusaidia kimawazo.

ยฐยฐKUWA MWAMINIFU NA MSIKIVU.
Kuwa mwaminifu kwa kila Jambo na usikilize ushauri na ukubali kujirekebisha pale unapokosolewa.

ยฐยฐPENDA KUJIFUNZA KUTOKA
KWA WALIOFANIKIWA.
Penda kusoma vitabu ili kupanua wigo wa uelewa na jifunze kutoka kwa walio fanikiwa.

MAMBO KUMI YA KUZINGATIA KWA KIJANA ANATAKA MAFANIKIO.
04/08/2020

MAMBO KUMI YA KUZINGATIA KWA KIJANA ANATAKA MAFANIKIO.

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Extra Ordinaries. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Extra Ordinaries.:

Share