Ushirika Mbogwe geita Tanzania

Ushirika Mbogwe geita Tanzania USHIRIKA VOICE RECORD STUDIO

Adam on the beat at jcmc record
21/06/2023

Adam on the beat at jcmc record

19/09/2017

bwana yesu asifiwa ndugu zangu na marafik pamoja na marafk zangun kwa mara nyingine tena ushilika mbogwe tz tunawakalibisha ushirika mbogwe kwa kujipatia huduma saf na ninzuli tunatoa huduma ya kusafisha picha aina zote na paspot size kwa dakka3 tunarekod nyimbo aina zote pia jipatie seazon mpya kila siku ya jumapil na alhamis

07/08/2017

Tunawakaribisha ushirika mbogwe tumeanzisha huduma ya computer musib and multmadie na stational pia tunashut video za >SHEREHE YA HARUSI / MISIBA Pia huduma ya kufrash simu ipo mnakaribishwa nyote na mungu awabarik amina

nawatakien mfungo mwema wa ramadhan
13/06/2017

nawatakien mfungo mwema wa ramadhan

NEMBO YA TAIFA TANZANIA  huyu hata katka picha ndie aliyeweza kubuni nembo ya taifa la tanzania  iliyo shikiriwa na watu...
01/06/2017

NEMBO YA TAIFA TANZANIA huyu hata katka picha ndie aliyeweza kubuni nembo ya taifa la tanzania iliyo shikiriwa na watu wawiri maarufu k**a adamu na hawa na kuwekwa maandishi UHURU NA UMOJA amefariki dunia katika hospitar ya taifa mhimbir da es salaam TUTAUKUMBUKA MCHANGO WAKE MKUBWA KATKA TAIFA (maarufu k**a mzee ngosha) mungu ailaze roho yake pema pepon amina

01/06/2017

NAWAKARIBISHA WATU WOTE KATKA UKRASA HUU WA USHIRIKA MBOGWE TANZANIA

Address

NYASUBI
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushirika Mbogwe geita Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share