16/03/2020
*MUHIMU*
Amani kwenu
Mimi ni Ndikumana Aron, kutoka Tanzania. natokea Kitivo cha UUGUZI,
Chuo Kikuu cha St John's University of Tanzania.
Virusi vya Corona vinaweza fika nchi yo yote, na hakuna shaka kuwa nchi nyingi hazina vifaa vya utambuzi wa ugonjwa huo. Hivyo, tumia kiasi kikubwa cha Vitamini C asili ili kuimarisha mfumo wako wa kinga. Usijali, Vitamin C inaondoa virusi kwa kiasi kikubwa na ni nzuri. Pia hakikisha unatumia zaidi " "yellow wood"
Aidha jieleze wewe mwenye na watoto wako mjihisi kuwa mwathirika na msimguse mtu ye yote na msijutie kufanya hivyo.
Kwa bahati mbaya hadi sasa virusi havina chanjo wala tiba kutokana na mabadiliko ya maumbile yanayo fanya virusi hivyo kuwa hatari.
Ugonjwa huu unaonekana kusababishwa na muungano wa kimaumbile wa nyoka na popo na umejijengea uwezo wa kushambulia wanyama na binadamu.
Ni muhimu kuiweka taarifa hii katika ufahamu wako. Profesa Chen Horin, Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Jeshi ya Beijing, alisema,
"Vipande vya limao katika kikombe cha maji ya vuguvugu vinaweza kuokoa maisha yako."
Hata k**a una kazi ni muhimu uisome taarifa hii na uwasambazie wengine. Limao la moto linaweza kuua viini vya saratani!
Limao likikatwa vipande vitatu na kuwekwa katika kikombe, kisha ukaweka maji ya moto kuyafanya yawe maji ya "alkaline" na mkayanywa kila siku hakika kila mtu atanufaika.
Limao la moto linaweza kutoa dawa ya kupinga saratani pia. Sharubati ya moto ya limao ilionekana kwenye uvimbe wa saratani na kuponya aina zote za saratani. Tiba kwa mfumo huu inaharibu viini vibaya tu na haidhuru viini vyenye afya.
Pili "acids" na "carboxylic acid" zinazo patikana katika sharubati ya limao hurekebisha "Blood Pressure," hulinda mishipa myembamba, hurekebisha msukumo wa damu na kupunguza mgando wa damu.
Baada ya kuisoma taarifa hii zungumza na mtu mwingine, uisambaze kwa umpendaye na ulinde afya yako binafsi.
Profesa Chen Horin anahisi ye yote atakaye pokea taarifa hii ana uhakika wa kuokoa maisha ya mtu.
Nimetimiza