Team Wasakatonge

Team Wasakatonge Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Team Wasakatonge, Performance Art, Dodoma.

My life..My Business..
18/05/2018

My life..
My Business..

A new project in TOWN presenting by WasakaTonge Enterternment collaborate with Mambaphotoshoot, jamalgraphics and bullet...
01/03/2017

A new project in TOWN presenting by WasakaTonge Enterternment collaborate with Mambaphotoshoot, jamalgraphics and bullet proof for the first time happen in Dodoma (TANZANIA).
Location; Dodoma, KISASA
Date; 05/03/2017
check us through 0712883069
YOUR WELCOME.....

"RAFIKI, ADUI NA JAMAA"    ili ufanikiwe katika maisha unahitaji uzungukwe na hawa watu watatu adui, rafiki na jamaa!   ...
15/02/2016

"RAFIKI, ADUI NA JAMAA"
ili ufanikiwe katika maisha unahitaji uzungukwe na hawa watu watatu adui, rafiki na jamaa!
RAFIKI (15%)
Hawa tunawaita makumi na tano wa kwanza! kwenye maisha kila mtu ana watu wake wanaomkubali hata afanye nini wao watabaki kumsifia hata awe amefanya mabaya kiasi gani watasimama na kumuita shujaa hawa tunawaita marafiki wa kweli!!
MAADUI (15%)
Hawa tunawaita makumi na tano wa pili! hawa ni watu ambao hawakupendi tu tena bila sababu ya msingi hata uwafanyie nini hutosikia wanakukubali wao wataponda hata uwe umefanya zuri kiasi gani! Hawa tunawaita maadui wa kweli!!
MAJAMAA (70%)
Hawa tunawaita masabini hili kundi la watu ambao hawaeleweki k**a wanakupenda ama hawakupendi maana yake ni kuwa ukifanya zuri wanakusifia na ukifanya baya wanakupondea na hawa ndo wengi ni asilimia sabini ya watu wote tunaoishi nao na hawa tunawaita jamaa!!
My take, usihangaike kumshawishi akupende coz huyo anakukubali tu hata ukifanya baya kiasi gani! na wala usihangaike kumshawishi akupende coz huyo hata ukifanya zuri kiasi gani hawezi kukubali! Ila ishi kwa kumuangalia ishi katika mwenendo ambao utamfanya jamaa akukubali na kugeuka kuwa rafiki yako wa kweli ila usiishi katika mwenendo ambao jamaa atakuchukia na kugeuka kuwa adui wa kweli!!

Habari rafiki! Hii ni page maalumu kwa vijana wote hususani wanaotumia akili zao, nguvu zao, taaluma zao, vipaji vyao na...
24/01/2016

Habari rafiki! Hii ni page maalumu kwa vijana wote hususani wanaotumia akili zao, nguvu zao, taaluma zao, vipaji vyao na shughuli yeyote ile inayowapatia kipato, madhumuni ya page hii ni kutengeneza mtandao (connection) kwa vijana wote wa kitanzania, kiafrica na duniani kwa ujumla juu ya upatikanaji wa huduma na bidhaa halali zitokanazo na sisi wenyewe! K**a umevutiwa na page hii unaweza kui like halafu k**a utakuwa na tangazo lolote la biashara yako unaweza ku post kwenye wall ya page hii ili kila mtu apate taarifa juu ya bidhaa ama huduma yako au k**a haitoshi unaweza kututumia tangazo lako inbox yetu halafu sisi tutakupostia bila gharama yoyote ili kila mtu aone avutike ili ufanye biashara wewe mwenyewe!!
N.B - ukiweka tangazo lako eleza pia mtu akivutika anakupata vipi kwa namba za simu ama wapi ulipo! Ahsanteni

16/08/2015

kwa yeyote anayejua maisha ni safari lazima ajiandae njiani kupishana na miti gud sunday ppozzz

hey niajeeee?? wasakatonge now ndani ya mjeng  wa nyemo FM 97.7  Fanya kuckiza  tunaizundua mitaaaa !!!!!  one army one ...
20/05/2015

hey niajeeee?? wasakatonge now ndani ya mjeng wa nyemo FM 97.7 Fanya kuckiza tunaizundua mitaaaa !!!!! one army one ambition one luuv...

Address

Dodoma

Telephone

0712883069

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Team Wasakatonge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Team Wasakatonge:

Share