Mimi Ni Yanga

Mimi Ni Yanga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mimi Ni Yanga, Art, Dodoma.

25/10/2017

Cristiano Ronaldo alipohojiwa baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya mchezaji bora wa Dunia, aliulizwa swali "ni mchezaji gani unamuhofia zaidi kwa sasa??? Alitabasamu kisha akajibu "kwa kweli huwezi kuwa mnafiki na kuacha kusema ukweli kuwa *Ibrahim ajib Migomba* yupo vizuri sanaaa"

😊😊😊😊😊😊, povu ruksa

25/10/2017

Jumamosi tukutane uhuru Maneno weka pembeniii

Yanga daima

27/09/2017

MABINGWA LIGI KUU TANZANIA TANGU KUANZISHWA 1965.

Yanga ×27
Simba ×18
Mtibwa×2
Mseto
Cosmo×1
Tukuyu Stars×1
Coastal Union×1
Pan Africans×1
Azam ×1

Maana yake Simba+Mtibwa+Mseto+Pan+Tukuyu+Coastal+Azam+Cosmo= Makombe 26
YANGA=27

Yani ata timu zote nchi hii zikijumlisha makombe yao bado haziifikii Yanga labda ziungane na timu za nje ya nchi

28/08/2017

Ligi imeanza unainaje kikosi chetu cha Yanga kilichosajiliwa

Rafaeli daudi
31/07/2017

Rafaeli daudi

30/07/2017
Anaitwa dismass ten msemaji Wa Yanga Africa
14/07/2017

Anaitwa dismass ten msemaji Wa Yanga Africa

YANGA YAMSAJILI KIPA WA SERENGETI BOYS ALIYEITWA STARSNa Rehema Lucas, DAR ES SALAAMYANGA SC imekamilisha idadi ya makip...
11/07/2017

YANGA YAMSAJILI KIPA WA SERENGETI BOYS ALIYEITWA STARS
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
YANGA SC imekamilisha idadi ya makipa watatu baada ya kumsaini na kipa wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Ramadhani Awam Kabwili.
Mlinda mlango huyo atakayetimiza umri wa miaka 17 Desemba 11, mwaka huu alidaka mechi zote za Serengeti Boys kwenye Fainali za Vijana Afrika chini ya umri wa miaka 17 nchini Gabon na kusifiwa mno kwa kiwango kizuri alichoonyesha.
Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amesema leo kwamba wamesajili Kabwili baada ya kuachana na makipa wao wawili wa muda mrefu, Ally Mustafa ‘Barthez’ na Deo Munishi ‘Dida’ waliomaliza mikataba yao.

Hafidh amesema Kabwili anaungana na kipa mwingine mpya, Mcameroon Youthe Rostand aliyesajiliwa kutoka African Lyon na Benno Kakolanya ambaye anakwenda kwenye msimu wa pili tangu asajiliwe kutoka Prisons ya Mbeya.
Yanga SC, mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wameanza mazoezi leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya, ingawa hawakuwa na kipa mmoja baada ya
Rostand na Kakolanya kutotokea, wakati Kabwili yuko na timu ya taifa ya wakubwa, Taifa Stars mjini Mwanza.
Kabwili ameitwa kwa mara ya kwanza Taifa Stars, ambayo Jumamosi itamenyana na Rwanda ‘Amavubi’ katika mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), michuano inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee.

Golikipa raia wa cameroon Youthe Rostand akitia saini tayari kuitumikia Yanga SC.
09/07/2017

Golikipa raia wa cameroon Youthe Rostand akitia saini tayari kuitumikia Yanga SC.

Dealdone
05/07/2017

Dealdone

Amiss Tambwe amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kuwatumikia mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga SC mchana wa leo...
29/06/2017

Amiss Tambwe amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kuwatumikia mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga SC mchana wa leo.

Donaldo Dompo Ngoma Miaka miwili Yanga Sc
28/06/2017

Donaldo Dompo Ngoma Miaka miwili Yanga Sc

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mimi Ni Yanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category