The Great Charity Tz

The Great Charity Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Great Charity Tz, Choir, Dodoma.

TunawasalimuHamjambo nyote πŸ₯°πŸ₯°
28/06/2025

Tunawasalimu

Hamjambo nyote πŸ₯°πŸ₯°

NitaimbaNitasifuNitaimba
22/02/2025

Nitaimba

Nitasifu

Nitaimba

Luka 14:11"Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwanaye ajidhiliye atakwezwa"

21/02/2025
Hongera sana kwa wenzetu the great charity class of 2024
06/12/2024

Hongera sana kwa wenzetu the great charity class of 2024

LESONI LEO, DEC 1-NIMEWAPA KIELELEZOKatika sehemu hii ya dunia, katika siku za YESU, watu walivaa makubazi na wengine wa...
01/12/2024

LESONI LEO, DEC 1-NIMEWAPA KIELELEZO

Katika sehemu hii ya dunia, katika siku za YESU, watu walivaa makubazi na wengine walitembea bila viatu. Miguu ilipata vumbi na kuwa na uchafu, hivyo ilikuwa ni desturi ya mtumishi ama mtumwa kuosha miguu ya wale wanaokuja kwa ajili ya mlo. Lakini, hakuna mtumishi aliyekuwepo wakati YESU na wanafunzi wake wanakuja kwa ajili ya mlo, maana ilikuwa ni wakati wa usiku.

Kwa sababu hiyo πŸ‘†, YESU mwenyewe anainuka kutoka chakulani na kuosha miguu yao wote (Yohana 13:4-12). Lilikuwa ni tendo la ajabu, la kushangaza na ambalo halikutegemewa na wanafunzi kwamba YESU angelifanya πŸ‘‰ maana alikuwa ni Bwana na Mwalimu wao (ndivyo walivyomuita, na ndivyo ilivyo)-Hivyo kwa Mwalimu na Bwana kunyanyuka na kuanza kuosha wanafunzi wake miguu, tena miguu iliyojaa vumbi na uchafu mwingi (maana tumeona walikuwa walikuwa wakivaa makubazi na wengine walitembea peku), Kwa Bwana kufanya tendo ambalo lilipaswa kufanywa na mtumishi wa chini kabisa (mtumwa) ilikuwa ni ajabu.

Bila shaka, ndiyo maana Petro anakataa na kumwambia, "Bwana huwezi kuniosha mimi miguu" (Yohana 13:6).

Petro anakataa kwa sababu mbili. Moja, YESU ni Bwana na Mwalimu πŸ‘‰ anawezaje kufanya hivyo. Lakini mbili, huenda pia miguu ilikuwa ni michafu mno, sasa kuoshwa tena na Bwana si ni aibu hii ☺️.

Lakini YESU anamwambia hivi, "asipofanya hivyo basi yeye hana shirika naye" (Yohana 13:7-8).

Nimalizie kwa kusema hivi πŸ‘‰ meza ya BWANA ina mafundisho mengi. Lakini katika somo la leo YESU alitaka kuwafundisha wanafunzi wake kile ambacho kiongozi anapaswa kufanya. Tazama Lesoni leo inasema, walimuita Bwana na Mwalimu (jina ama vyeo vinavyoelezea mamlaka ama uwezo), hivyo YESU alikuwa akiwafundisha wanafunzi wake kwamba, "uwezo na mamlaka, vinapaswa vitumike kwa ajili ya huduma", si kwa ajili ya kujitukuza!!!

TAFAKARI NJEMA SANA...

30/11/2024

Zidi kubarikiwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Barikiwa na wimbo huu kutoka edeni choir
22/06/2024

Barikiwa na wimbo huu kutoka edeni choir

Happy Sabbath from here
21/06/2024

Happy Sabbath from here

Wiwa kushiriki Mibaraka hii nawe utazidishiwa
24/05/2024

Wiwa kushiriki Mibaraka hii nawe utazidishiwa

Charity ya sasaπŸ’•πŸ’•βœ¨βœ¨
11/05/2024

Charity ya sasaπŸ’•πŸ’•βœ¨βœ¨

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Great Charity Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category